KQ huwapatia wenzetu sleepless nights yani mpaka mtu mwenye ndevu zake anaweza tafuta articles za Kenya mwaka mzima just trying hard to prove a point, lakini ukimuuliza article ya zile bombardier zilizokombolewa mikononi mwa Canada hawezi pata( nasikia zimekaza vyuma kule chato).
Tuliimbiwa nyimbo hapa za Drimlaina kuanza safari za Bombay August, sasa nashangaa kwani kalenda tunayotumia ni tofauti na ya Watanzania?
SGR itakamilika 2019 sasa tuko 2018 na hata metre moja hamna, vyuma kukaza hadi kikaeleweka...hamna pesa itabidi tungoje $400m kutoka kwa wafadhili...sijaona
Geza Ulole akiweka Hii taarifa wazi Kazi ni Kenya tu.
Vinyerezi na steiglers gorge tumengoja tukachoka Kazi ni kuzindua tu hamna real progress
redeemer na
joto la jiwe Kazi kwenu.
Bandari ya Burgermoyo hata Jiwe alichoka kuizindua
Geza Ulole it is nearly a decade since you posted something meaningful (the walk not the talk).
The only thing watzee wameweza ni BRT, Kigamboni Bridge(500metres long)...hapa nawapa congratulations.
joto la jiwe na
Annael kudos.
Omba omba mumewaleta wengi sana hapa Kenya
mulisaaa njoo uwaregeshe wenzako bila kufeli .