Lituye
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 1,864
- 5,695
Tanzania umesikia tumefunga viwanda na watu kuamliwa wakae nyumbani? Au umesikia Kenya na Rwanda wanapanga foleni japo waliwazuia watu kutaka? Tanzania hatuna kiongozi ndugu nchi inaenda kama gari bovu nikimnukuu maneno ya Rais mstaafu Mwinyi.Hiyo ni effect ya lockdown. Na wala si Tanzania hata nchi zingine watu hawaruhusiwi kununua zaidi ya packt 2 ya maziwa ama sukari tena in heart of europe.
Sent using Jamii Forums mobile app