johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ni vita hiyo hiyo ila safari hii ni vita ya kibaiolojia ( Corona)Wale ambao baada ya vita ya nduli Idi Amin hamukuwepo basi hivi ndio tulivyopanga foleni kupata unga wa Yanga, Viberiti, Sigara, Bia, Betri za radio, Viatu vya bora (Raizone), Kununua radio cassete mshale au Phillips n.k lakini ilikuwa ni sababu ya vita na leo sijui dhahama hii imeletwa na nini naomba mnijuze.