Tazama hali ya Barabara za masaki 2024! Ni aibu ya nchi

Barabara za kupigia kampeni hizo
 
Attachments

  • Screenshot_20240610-161219_1.jpg
    Screenshot_20240610-161219_1.jpg
    384.3 KB · Views: 3
Kwamba huko Masaki ndio kuna umuhimu kuliko sehemu nyingine hadi barabara zake ndio ziwe bora kuliko kwetu Sinza madimbwini?
Wanafuata mumbo. Uongo mtupu. Barabara mbovu Masaki ni sehemu ndogo ya Chole road karibu na IsT. Halafu ile ya Slipway to Yatch club nqpo ni less than 200m ndio mbovu, ambayo imeharibiwa na malori ya lake oil kuna ujemzi wa mall kubwa. Barabara nyingine zote kuu zina lami nzuri kabisa na mitaa michache ambayo haina lami kama mutaa mingine tu Dar.
Haile sealassie kipande kibovu kiko Oysterbay na sio kibovu ila kina viraka,barabara ya zamank tangu niko shule ya msingi zaidi ya 30yrs ago haijawahi kutengenezwa.
 
Hali ya Barabara za masaki. Sehemu yenye watalii wanaokuja kutembelea Tanzania, hotel za kimataifa, balozi mbali mbali.nk

Wengi wakija Tanzania na kuona aina ya hiz barabara wanaona Tanzania haina uongozi na corruption imetamalaki. Wazungu uchukulia Tanzania hivyo

Hiv serikali inashindwa kutenga Billion hata 7 kufumua na kujenga upya barabara hiz at least kuanza na Toure, Haile selasie, kimweri Avenue na chole road ifanane kama ile inayopita coco beach?
Mpaka Magufuli afufuke tena?View attachment 3075107View attachment 3075108View attachment 3075109
Hata kama barabara ni mbovu lakini ni sehemu aghali sana kuishi kuliko sehemu yoyote Tanzania. Kwanza hiko pembezoni kabisa na usafiri wa umma (daladala). Ukitaka kwenda huko lazima uwe na usafiri wako au tembea kwa mguu!
 
Hali ya Barabara za masaki. Sehemu yenye watalii wanaokuja kutembelea Tanzania, hotel za kimataifa, balozi mbali mbali.nk

Wengi wakija Tanzania na kuona aina ya hiz barabara wanaona Tanzania haina uongozi na corruption imetamalaki. Wazungu uchukulia Tanzania hivyo

Hiv serikali inashindwa kutenga Billion hata 7 kufumua na kujenga upya barabara hiz at least kuanza na Toure, Haile selasie, kimweri Avenue na chole road ifanane kama ile inayopita coco beach?
Mpaka Magufuli afufuke tena?View attachment 3075107View attachment 3075108View attachment 3075109
AIbu
Diwani, Mbunge hawajitumi
 
Afadhali huko kuna barabara japo ya vumbi. Je sehemu nyingine ambazo hazina barabara kabisa?
 
Hali ya Barabara za masaki. Sehemu yenye watalii wanaokuja kutembelea Tanzania, hotel za kimataifa, balozi mbali mbali.nk

Wengi wakija Tanzania na kuona aina ya hiz barabara wanaona Tanzania haina uongozi na corruption imetamalaki. Wazungu uchukulia Tanzania hivyo

Hiv serikali inashindwa kutenga Billion hata 7 kufumua na kujenga upya barabara hiz at least kuanza na Toure, Haile selasie, kimweri Avenue na chole road ifanane kama ile inayopita coco beach?
Mpaka Magufuli afufuke tena?View attachment 3075107View attachment 3075108View attachment 3075109
Afadhali huko Masaki kwenu kuna hata hiyo barabara, sisi huku vijijini huwa tunatembea zaidi ya 5km kwenye vichochoro vya vichaka kuja kukutana na barabara yenye vumbi na makorongo matupu inayopitika kipindi cha kiangazi tu.
 
Washua walishahama Masaki kitambo tu, sasa hivi huko wanaishi akina Manara na akina Kitenge na bongofleva na wazee wa Kinondoni
Kivyovyote vile, Masaki itaendelea kua top of the top. Still ni ushuani sana licha ya kua na barabara chache kama hizo
 
Hiyo bilioni 7 unayotaka serikali kutenga kwa ajili ya kujenga barabara nzuri ya lami inatosha kuletea maji safi huku vijijini na zaidi ya laki moja wataondokana na tatizo la kunywa maji machafu yanayonywewa na mifugo na mwisho tutakuwa tumepunguza vifo vinavyotokana na Typhoid, kuharisha, minyoo, kuhara damu.
 
Ni kweli karibu asilmia 70% ya barabara za Oysterbay na Masaki ni mbovu na zinatia aibu sana
Ndio maana bodaboda wamejaa sana huko, kulikuwaga maeneo kimya sana mpaka ukitembea unajishtukia
Hasa Haile Sellassie road imekuwa kama mtaa fulani Huko Sinza
Na Pia Mikocheni kuna nyumba za mabalozi, huko barabara ni mbovu zinatia aibu
 
Wakazi wa masaki waende kule Kilimanjaro kwenye kijiji cha Kiruweni (Mwika?) ambako wananchi wake kwa vipato vyao vya kawaida waliamua kujichanga na kujenga barabara zao za changalawe za zaidi ya 200km za kuweza kupitika wakati wote ziwasaidie kwenda shamba, sokoni, shule, kanisani.

Kwa kuwa wakazi wa Masaki ni watu wenye kipato cha kati na juu, wakiishi maisha ya juu na kifahari, wakiendesha na kumiliki magari ya kisasa na kifahari hivyo hadhi ya barabara za lami inawahusu na wanaweza kumudu kujenga walau 5km.
 
Mbweni sawa inajengeka ila Masaki itabaki pale pale kutokana na jiografia yake pia. Masaki ni sehemu tulivu yenye hadhi ambayo ipo town. Kwa point hiyo, huwezi ifananisha na popote
Top of the top sasa hivi imehamia Mbweni Mkuu
 
Back
Top Bottom