Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Wakimaliza zetu watatengeneza zao, wanatujali sisi wapigakura wao.Kwa hiyo point yako ni ipi sasa?
Zibaki hivyo hivyo sio?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakimaliza zetu watatengeneza zao, wanatujali sisi wapigakura wao.Kwa hiyo point yako ni ipi sasa?
Zibaki hivyo hivyo sio?
Ndio washua wenyewe wa sasa hivi 😄Washua walishahama Masaki kitambo tu, sasa hivi huko wanaishi akina Manara na akina Kitenge na bongofleva na wazee wa Kinondoni
Wanafuata mumbo. Uongo mtupu. Barabara mbovu Masaki ni sehemu ndogo ya Chole road karibu na IsT. Halafu ile ya Slipway to Yatch club nqpo ni less than 200m ndio mbovu, ambayo imeharibiwa na malori ya lake oil kuna ujemzi wa mall kubwa. Barabara nyingine zote kuu zina lami nzuri kabisa na mitaa michache ambayo haina lami kama mutaa mingine tu Dar.Kwamba huko Masaki ndio kuna umuhimu kuliko sehemu nyingine hadi barabara zake ndio ziwe bora kuliko kwetu Sinza madimbwini?
Hata kama barabara ni mbovu lakini ni sehemu aghali sana kuishi kuliko sehemu yoyote Tanzania. Kwanza hiko pembezoni kabisa na usafiri wa umma (daladala). Ukitaka kwenda huko lazima uwe na usafiri wako au tembea kwa mguu!Hali ya Barabara za masaki. Sehemu yenye watalii wanaokuja kutembelea Tanzania, hotel za kimataifa, balozi mbali mbali.nk
Wengi wakija Tanzania na kuona aina ya hiz barabara wanaona Tanzania haina uongozi na corruption imetamalaki. Wazungu uchukulia Tanzania hivyo
Hiv serikali inashindwa kutenga Billion hata 7 kufumua na kujenga upya barabara hiz at least kuanza na Toure, Haile selasie, kimweri Avenue na chole road ifanane kama ile inayopita coco beach?
Mpaka Magufuli afufuke tena?View attachment 3075107View attachment 3075108View attachment 3075109
AIbuHali ya Barabara za masaki. Sehemu yenye watalii wanaokuja kutembelea Tanzania, hotel za kimataifa, balozi mbali mbali.nk
Wengi wakija Tanzania na kuona aina ya hiz barabara wanaona Tanzania haina uongozi na corruption imetamalaki. Wazungu uchukulia Tanzania hivyo
Hiv serikali inashindwa kutenga Billion hata 7 kufumua na kujenga upya barabara hiz at least kuanza na Toure, Haile selasie, kimweri Avenue na chole road ifanane kama ile inayopita coco beach?
Mpaka Magufuli afufuke tena?View attachment 3075107View attachment 3075108View attachment 3075109
Afadhali huko kuna barabara japo ya vumbi. Je sehemu nyingine ambazo hazina barabara kabisa?Hali ya Barabara za masaki. Sehemu yenye watalii wanaokuja kutembelea Tanzania, hotel za kimataifa, balozi mbali mbali.nk
Wengi wakija Tanzania na kuona aina ya hiz barabara wanaona Tanzania haina uongozi na corruption imetamalaki. Wazungu uchukulia Tanzania hivyo
Hiv serikali inashindwa kutenga Billion hata 7 kufumua na kujenga upya barabara hiz at least kuanza na Toure, Haile selasie, kimweri Avenue na chole road ifanane kama ile inayopita coco beach?
Mpaka Magufuli afufuke tena?View attachment 3075107View attachment 3075108View attachment 3075109
Afadhali huko Masaki kwenu kuna hata hiyo barabara, sisi huku vijijini huwa tunatembea zaidi ya 5km kwenye vichochoro vya vichaka kuja kukutana na barabara yenye vumbi na makorongo matupu inayopitika kipindi cha kiangazi tu.Hali ya Barabara za masaki. Sehemu yenye watalii wanaokuja kutembelea Tanzania, hotel za kimataifa, balozi mbali mbali.nk
Wengi wakija Tanzania na kuona aina ya hiz barabara wanaona Tanzania haina uongozi na corruption imetamalaki. Wazungu uchukulia Tanzania hivyo
Hiv serikali inashindwa kutenga Billion hata 7 kufumua na kujenga upya barabara hiz at least kuanza na Toure, Haile selasie, kimweri Avenue na chole road ifanane kama ile inayopita coco beach?
Mpaka Magufuli afufuke tena?View attachment 3075107View attachment 3075108View attachment 3075109
Hizi ni baadhi ya barabara chache za mitaa ya ndani ndani. Japo licha ya hivyo ila hazistahili kua hivyo kwa hadhi ya Masaki ilivyoHuko ndio masaki ninapopaskiaga pakiongelewa
Kivyovyote vile, Masaki itaendelea kua top of the top. Still ni ushuani sana licha ya kua na barabara chache kama hizoWashua walishahama Masaki kitambo tu, sasa hivi huko wanaishi akina Manara na akina Kitenge na bongofleva na wazee wa Kinondoni
Top of the top sasa hivi imehamia Mbweni MkuuKivyovyote vile, Masaki itaendelea kua top of the top. Still ni ushuani sana licha ya kua na barabara chache kama hizo
Huko mbweni inabidi likizo hii niende nikapaone maana panasifiwa sana.Top of the top sasa hivi imehamia Mbweni Mkuu
Top of the top sasa hivi imehamia Mbweni Mkuu