Tazama hii video: Mtoto anampiga mama kisa analazimishwa kusoma — Maoni yenu ni yapi?"

Tazama hii video: Mtoto anampiga mama kisa analazimishwa kusoma — Maoni yenu ni yapi?"

KIXI

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2015
Posts
2,456
Reaction score
3,274
Huyu mtoto angekunjwa hapo na mama yake watetezi wangeingilia kati kuwa mama anatesa mtoto

Enzi zetu unapigwa na mwiko unakuvunjikia unataka kukimbia unakoswa koswa na sahani ya udongo na akikushika anapiga hata mbanio wa sufuria ya ugali unashika adabu chapu
 
unaposema tazama unamaanisha kitu gani?
Huyu mtoto angekunjwa hapo na mama yake watetezi wangeingilia kati kuwa mama anatesa mtoto

Enzi zetu unapigwa na mwiko unakuvunjikia unataka kukimbia unakoswa koswa na sahani ya udongo na akikushika anapiga hata mbanio wa sufuria ya ugali unashika adabu chapu
 
Baba yupo?...
Ukimtunza mtoto badala ya kumlea haya ndio matokeo yake!
Hayo maneno machafu yanatokana na malezi ya ******* ya nyumbani...
Ila sio kila mtu anafaa kuwa mzazi wengine ni waleta mbegu tu..
Hapo tatizo ni la mama,alafu ni ofisini,Naona picha ya Samia hapo
 
yaani wamama wa 2000 walea watoto kimayai sana mama zetu wale wa 70 kushuka chini hapo hata camera ingezimwa kwanza
Sio kulea kimayai mkuu omba usipate kizazi cha aina hiyo unaweza piga ukauwa kumbuka mtoto ni wako ila ukiuwa ni Mali ya serikali.Mimi niliwahi msindikiza dada yangu police kapiga mtoto aseme alikuwa wapi siku mbili piga piga na wewe mtoto anajibu chukueni kisu mniuwe mpaka mkuu wa police alishangaa police wamepiga wapi mtoto ana roho ngumu kama paka.
 
Huyu mtoto angekunjwa hapo na mama yake watetezi wangeingilia kati kuwa mama anatesa mtoto

Enzi zetu unapigwa na mwiko unakuvunjikia unataka kukimbia unakoswa koswa na sahani ya udongo na akikushika anapiga hata mbanio wa sufuria ya ugali unashika adabu chapuView attachment 3342420
Wenye dinintunasema ana mapepo akaombewe Kiranga wewe unasemaje na unamsaidiaje?
 
Kwa mama yangu angepona anachoumwa siku hiyo hiyo. Tena bila dawa.
 
Back
Top Bottom