Wahuni washafanya yao hapo dogo anaona ududu ndiyo kitu muhimu maishani vingine ni ujinga.Huyu mtoto angekunjwa hapo na mama yake watetezi wangeingilia kati kuwa mama anatesa mtoto
Enzi zetu unapigwa na mwiko unakuvunjikia unataka kukimbia unakoswa koswa na sahani ya udongo na akikushika anapiga hata mbanio wa sufuria ya ugali unashika adabu chapuView attachment 3342420