Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 89,019
- 156,726
Matatizo ya kisaikolojia na umasikini tu hayo.Wenye dinintunasema ana mapepo akaombewe Kiranga wewe unasemaje na unamsaidiaje?
Wewe shule yenyewe most likely haina madawati, ina vumbi kila sehemu, walimu wote wana hasira hawajalipwa mishahara yao ambayo ni midogo, wanamalizia hasira zao kuwachapa watoto ovyo tu.
Mtoto akikataa kwenda shule na kupata matatizo ya kisaikolojia utamlaumu vipi?