Uchaguzi 2020 Tazama hii video ya kivuko alichozuiwa kupanda ndugu Tundu Lissu kwa madai kuwa ni kibovu kikiwa Mwibara kisha soma ufafanuzi wa yaliyotokea

Tort Law inafundishwa kwenye masomo yote ya biashara, finance or management. Kama ulisoma masomo husika na ukufundishwa aspect za ‘fault liability’ nenda kadai hela yako.
🤣🤣🤣
 
Nimeipenda hii, CCM wanatakiwa watumie akiri sana kudeal na Tundu Lissu. Huyu mtu kwa sasa hakuna kitu kinachomwogopesha.
 
Awamu ya 5 kuna mengi ya kipuuzi ya kujifunza hata mimi kwenye kitabu changu cha ujasiriamali ambacho nakiandika nimepata nyamanyama za kujazia mfano unaweza ukawa na elimu nzuri ya ujasriamli lakini kama sera siyo rafiki huwezi toboa 'ineffective policies made to make politics'
 
Washamba sana hao eti kivuko kibovu ujinga wa chekecheka !
 
Yeye aliacha magari pale sababu alijua kivuko leo ni kibovu hakitafika kule.... Sasa njia ya muongo fupi... Hii imedhihirisha walipanga kumnyima tu kutumia kile kivuko.....

Kila mtu ale alikopeleka mboga.
Je,wakisema kuwa wakati Lissu na timu yake wanahitaji kukitumia kilikuwa kibovu ila kikaja Kikatengenezwa kikawa sawa na kuendelea na kazi kama kawaida,kutakuwa na namna ya kukwepa lawama!? Kuambiwa ni kibovu haimanishi kitakuwa kibovu milele. ATL ni best candidate kwangu na kura ntampa ila hapa sijakubaliana na maamuzi ya timu yake kwenye haka tu basi tu ka kivuko!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwenye msafara wa Lisu yule jamaa wa logistic nimemkubali sana,Lisu yupo na watu smart sana
 
Kaambiwa kibovu hakina safari za ukerewe leo... Muache dhulma.... Hii nchi ni yetu sote na kodi tunalipa wote
 
Hivi unajua Lissu anagombea Urais na anataka awe Rais wa Jamhuri. Hiki alichofanya ni ujinga na amethibitisha Hana Busara hata kidogo. Sasa hapo amemkomoa nani Kama siyo hao Wananchi ambao anataka wampigie kura awaongoze
wale mafala wa ccm waliosema kivuko kibovu kwa leo hakisafiri
 
Kumbukeni kuwa Lisu alishapoteza siku saba sababu ya NEC Mahera.Na hiyo fursa ya kufanya mkutano Ukerewe ni siku moja tu# Nafasi hadimu
 
Kaambiwa kibovu hakina safari za ukerewe leo... Muache dhulma.... Hii nchi ni yetu sote na kodi tunalipa wote
Katika wakati wa kampeni wagombea wote wanapaswa kuwa na "equal access to public resources" na kwa hili kahujumiwa na nmesema hapo juu kwenye mchango wangu wa mwanzo kabisa. Ninachosema kwa mawazo yangu ni kwamba maamuzi aliyofanya huenda yamewagharimu watu ambao wala hawakuwa sehemu ya dhuluma hiyo. Na hapo ndo nasema nadhani huo uamuzi binafsi sijakubaliana nao na sijasema ni uamuzi mbaya,hapana ila nmesema sijakubaliana nao.
Kunihusisha mimi na chanzo cha matatizo ni kunionea kwelikweli!! Cjawahi penda dubwana hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hakuna wakufanya huo upuuzi labda siyo Lisu
 

Maamuzi kama hayo ya mihemko ndiyo yanadhihirisha kwamba Lissu hafai na hawezi kuwa Rais. Kwa ufupi hapo amewakomoa wananchi, hata kama iwe kweli ameonewa. Nasikia ndio yeye pia alishauri Wabunge wa CHADEMA waache kuhudhuria Bunge kwa sababu ya COVID-19, na ni yeye huyu huyu ambaye sasa anaamini CORONA haipo nchini, anapuyanga bila barakoa, no social distancing n.k.
 
Na hao watu wakiamua wawe Kama yeye unajua Nini kitatokea kwenye hayo Magari.Halafu eti huyu ndiye anaomba awe Rais, wakati vitu vidogo Kama hivi anashindwa kuonyesha uvumilivu wake na Busara zake.
Mimi ni mwana CCM, lakini uvumilivu hawapaswi kuvumilia upande mmoja. Sisi tunavumilia lipi?
 
Tumia akili usiwe kama mwanaccm, umeambiwa kivuko kibovu na hapo walikuwa tayari wapo kwenye lango la kivuko ili magari yapandishwe sasa huyo mjamzito atakiponya kivuko!
 
Awezi shinda kesi hiyo miaka 800 na mimi naombea wafanye ivyo waifungulie CDM kesi ya madai, halafu tuone umahiri wa Lissu.

Unadhani hizo ni zile kesi za ku interpret maandishi ya sheria, huko kuna tests zake na Lissu clearly is at fault.

..most likely madereva wapo karibu na hapo.
 
Kwanini Lisdu afunge njia?? Haoni kuwa anawakwamisha watu! Inawezekana kweli kivuko kilikuwa kibovu lakini kimetengamaa baada ya kutengenezwa
Ukiwasikiliza wananchi waliokuwapo ni kwamba kabla ya msafara wa Lisu kivuko kilikuwa kinafanya kazi bila tatizo. Mara tu ya kufika msafara huo kikaenda upande wa Pili na kusemekana kuwa ni kibovu na kwamba hakiwezi kufanya kazi tena kwa simu ya leo.
 
Hahahahaha Safi sana [emoji123][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hivi unajua Lissu anagombea Urais na anataka awe Rais wa Jamhuri. Hiki alichofanya ni ujinga na amethibitisha Hana Busara hata kidogo. Sasa hapo amemkomoa nani Kama siyo hao Wananchi ambao anataka wampigie kura awaongoze
Kumzuia rais ajae asipande kivuko Ni ujinga zaidi mnaweza fukuzwa kazi[emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…