Ileje
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 9,524
- 13,682
🤣🤣🤣Tort Law inafundishwa kwenye masomo yote ya biashara, finance or management. Kama ulisoma masomo husika na ukufundishwa aspect za ‘fault liability’ nenda kadai hela yako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣Tort Law inafundishwa kwenye masomo yote ya biashara, finance or management. Kama ulisoma masomo husika na ukufundishwa aspect za ‘fault liability’ nenda kadai hela yako.
Awamu ya 5 kuna mengi ya kipuuzi ya kujifunza hata mimi kwenye kitabu changu cha ujasiriamali ambacho nakiandika nimepata nyamanyama za kujazia mfano unaweza ukawa na elimu nzuri ya ujasriamli lakini kama sera siyo rafiki huwezi toboa 'ineffective policies made to make politics'Kwenye video hapa chini kinaonekana kivuko ambacho kipo upande wa Mwibara. Kilitoka Ukerewe kwenda Mwibara ambapo kimemuacha ndugu Lissu akiwa Ukerewe kwenye mkutano. Yani Lissu amefika Ukerewe na kivuko kikatoka Ukerewe (Na tuliambiwa kuwa ni kibovu)
Tazama mbele ya kivuko yanaonekana magari. Magari haya ni pamoja na gari la Tundu Lissu (Prado nyeupe) na magari mengine ya msafara wa Lissu ambayo walitaka kuyavusha kwa kutumia kivuko hicho kutoka Mwibara kwenda Ukerewe. Sasa kwa kuwa waliambiwa kuwa kivuko ni kibovu, wakamua kuyaacha magari yao hapo (kama yanavyoonekana) kisha wakaenda zao Ukerewe kwa kutumia Mtumbwi.
Sasa ajabu kivuko kimetoka Ukerewe kimefika Mwibara hatimaye wameshindwa kushusha mizigo na mabasi waliyopaki ndani ya kivuko kwa kuwa magari ya msafara wa Lissu yaliachwa hapo na madereva wote wameenda Ukerewe pamoja na Lissu (Yame block njia).Sasa wanalazimika kusubiri hadi atoke Ukerewe ndipo waje watoe hayo magari ili kivuko kiweze kushusha mizigo na hayo mabasi.
Angalizo: Tundu Lissu aliambiwa kuwa kivuko ni kibovu na kwa leo kisingefanya kazi kabisa!
Swali, hapo nani kacheza kitoto?
View attachment 1599922
Je,wakisema kuwa wakati Lissu na timu yake wanahitaji kukitumia kilikuwa kibovu ila kikaja Kikatengenezwa kikawa sawa na kuendelea na kazi kama kawaida,kutakuwa na namna ya kukwepa lawama!? Kuambiwa ni kibovu haimanishi kitakuwa kibovu milele. ATL ni best candidate kwangu na kura ntampa ila hapa sijakubaliana na maamuzi ya timu yake kwenye haka tu basi tu ka kivuko!!Yeye aliacha magari pale sababu alijua kivuko leo ni kibovu hakitafika kule.... Sasa njia ya muongo fupi... Hii imedhihirisha walipanga kumnyima tu kutumia kile kivuko.....
Kila mtu ale alikopeleka mboga.
kwenye msafara wa Lisu yule jamaa wa logistic nimemkubali sana,Lisu yupo na watu smart sanaKwenye video hapa chini kinaonekana kivuko ambacho kipo upande wa Mwibara. Kilitoka Ukerewe kwenda Mwibara ambapo kimemuacha ndugu Lissu akiwa Ukerewe kwenye mkutano. Yani Lissu amefika Ukerewe na kivuko kikatoka Ukerewe (Na tuliambiwa kuwa ni kibovu)
Tazama mbele ya kivuko yanaonekana magari. Magari haya ni pamoja na gari la Tundu Lissu (Prado nyeupe) na magari mengine ya msafara wa Lissu ambayo walitaka kuyavusha kwa kutumia kivuko hicho kutoka Mwibara kwenda Ukerewe. Sasa kwa kuwa waliambiwa kuwa kivuko ni kibovu, wakamua kuyaacha magari yao hapo (kama yanavyoonekana) kisha wakaenda zao Ukerewe kwa kutumia Mtumbwi.
Sasa ajabu kivuko kimetoka Ukerewe kimefika Mwibara hatimaye wameshindwa kushusha mizigo na mabasi waliyopaki ndani ya kivuko kwa kuwa magari ya msafara wa Lissu yaliachwa hapo na madereva wote wameenda Ukerewe pamoja na Lissu (Yame block njia).Sasa wanalazimika kusubiri hadi atoke Ukerewe ndipo waje watoe hayo magari ili kivuko kiweze kushusha mizigo na hayo mabasi.
Angalizo: Tundu Lissu aliambiwa kuwa kivuko ni kibovu na kwa leo kisingefanya kazi kabisa!
Swali, hapo nani kacheza kitoto?
View attachment 1599922
Je,wakisema kuwa wakati Lissu na timu yake wanahitaji kukitumia kilikuwa kibovu ila kikaja Kikatengenezwa kikawa sawa na kuendelea na kazi kama kawaida,kutakuwa na namna ya kukwepa lawama!? Kuambiwa ni kibovu haimanishi kitakuwa kibovu milele. ATL ni best candidate kwangu na kura ntampa ila hapa sijakubaliana na maamuzi ya timu yake kwenye haka tu basi tu ka kivuko!!
Sent using Jamii Forums mobile app
wale mafala wa ccm waliosema kivuko kibovu kwa leo hakisafiriHivi unajua Lissu anagombea Urais na anataka awe Rais wa Jamhuri. Hiki alichofanya ni ujinga na amethibitisha Hana Busara hata kidogo. Sasa hapo amemkomoa nani Kama siyo hao Wananchi ambao anataka wampigie kura awaongoze
Katika wakati wa kampeni wagombea wote wanapaswa kuwa na "equal access to public resources" na kwa hili kahujumiwa na nmesema hapo juu kwenye mchango wangu wa mwanzo kabisa. Ninachosema kwa mawazo yangu ni kwamba maamuzi aliyofanya huenda yamewagharimu watu ambao wala hawakuwa sehemu ya dhuluma hiyo. Na hapo ndo nasema nadhani huo uamuzi binafsi sijakubaliana nao na sijasema ni uamuzi mbaya,hapana ila nmesema sijakubaliana nao.Kaambiwa kibovu hakina safari za ukerewe leo... Muache dhulma.... Hii nchi ni yetu sote na kodi tunalipa wote
hakuna wakufanya huo upuuzi labda siyo LisuNi kulipia cost of loss wasipolipa magari yatashikiliwa hadi walipe au yatapigwa mnada na madalali wa mahakama.
Ila gharama watatakiwa kulipa si kwa wamiliki kivuko tu Bali na wenye magari binafsi waliokuwa blocked
Ofisi ya dereva yeyote ni kwenye gari hao madereva wa Lisu waliondokaje na kuachia ofisi zao au magari yao kwa kivuko? Wenye kivuko andaeni invoice haraka wakija tu hapo loss yote walipe na wenye magari binafsi blocked daini fidia
Kwenye video hapa chini kinaonekana kivuko ambacho kipo upande wa Mwibara. Kilitoka Ukerewe kwenda Mwibara ambapo kimemuacha ndugu Lissu akiwa Ukerewe kwenye mkutano. Yani Lissu amefika Ukerewe na kivuko kikatoka Ukerewe (Na tuliambiwa kuwa ni kibovu)
Tazama mbele ya kivuko yanaonekana magari. Magari haya ni pamoja na gari la Tundu Lissu (Prado nyeupe) na magari mengine ya msafara wa Lissu ambayo walitaka kuyavusha kwa kutumia kivuko hicho kutoka Mwibara kwenda Ukerewe. Sasa kwa kuwa waliambiwa kuwa kivuko ni kibovu, wakamua kuyaacha magari yao hapo (kama yanavyoonekana) kisha wakaenda zao Ukerewe kwa kutumia Mtumbwi.
Sasa ajabu kivuko kimetoka Ukerewe kimefika Mwibara hatimaye wameshindwa kushusha mizigo na mabasi waliyopaki ndani ya kivuko kwa kuwa magari ya msafara wa Lissu yaliachwa hapo na madereva wote wameenda Ukerewe pamoja na Lissu (Yame block njia).Sasa wanalazimika kusubiri hadi atoke Ukerewe ndipo waje watoe hayo magari ili kivuko kiweze kushusha mizigo na hayo mabasi.
Angalizo: Tundu Lissu aliambiwa kuwa kivuko ni kibovu na kwa leo kisingefanya kazi kabisa!
Swali, hapo nani kacheza kitoto?
View attachment 1599922
lazima haiwezekani wazibe njia..Hayo magari mmh Lazima faini iwatoke hapo.
Mimi ni mwana CCM, lakini uvumilivu hawapaswi kuvumilia upande mmoja. Sisi tunavumilia lipi?Na hao watu wakiamua wawe Kama yeye unajua Nini kitatokea kwenye hayo Magari.Halafu eti huyu ndiye anaomba awe Rais, wakati vitu vidogo Kama hivi anashindwa kuonyesha uvumilivu wake na Busara zake.
Tumia akili usiwe kama mwanaccm, umeambiwa kivuko kibovu na hapo walikuwa tayari wapo kwenye lango la kivuko ili magari yapandishwe sasa huyo mjamzito atakiponya kivuko!HE IS NOT READY TO BE COMMANDER IN CHIEF......imagine Kuna mama anatakiwa kujifungua na kazuiliwa njia kwenda kujifungua Salama VIP kama Kuna wagonjwa Humo au Wazeee wenye umri mkubwa au watoto Wsiostahili Upumbavuu Huu dah HE IS SO SELFISH nimesikitika sana HAPO UNAMKOMOA MAGUFULI AU WANANCHI
Hayo ni maendeleo ya vitu
Awezi shinda kesi hiyo miaka 800 na mimi naombea wafanye ivyo waifungulie CDM kesi ya madai, halafu tuone umahiri wa Lissu.
Unadhani hizo ni zile kesi za ku interpret maandishi ya sheria, huko kuna tests zake na Lissu clearly is at fault.
Ukiwasikiliza wananchi waliokuwapo ni kwamba kabla ya msafara wa Lisu kivuko kilikuwa kinafanya kazi bila tatizo. Mara tu ya kufika msafara huo kikaenda upande wa Pili na kusemekana kuwa ni kibovu na kwamba hakiwezi kufanya kazi tena kwa simu ya leo.Kwanini Lisdu afunge njia?? Haoni kuwa anawakwamisha watu! Inawezekana kweli kivuko kilikuwa kibovu lakini kimetengamaa baada ya kutengenezwa
Kumzuia rais ajae asipande kivuko Ni ujinga zaidi mnaweza fukuzwa kazi[emoji1]Hivi unajua Lissu anagombea Urais na anataka awe Rais wa Jamhuri. Hiki alichofanya ni ujinga na amethibitisha Hana Busara hata kidogo. Sasa hapo amemkomoa nani Kama siyo hao Wananchi ambao anataka wampigie kura awaongoze