Uchaguzi 2020 Tazama hii video ya kivuko alichozuiwa kupanda ndugu Tundu Lissu kwa madai kuwa ni kibovu kikiwa Mwibara kisha soma ufafanuzi wa yaliyotokea

Hii inaitwa Mbwa kala Mbwa
 
1 haikai 2 haiingii 3 haigawanyiki
Na Lindi hakuendeki nasikia
Tafadhali makofi kidogo kwa Lissu
Kila uchao mambo yanaji-sett yenyewe kwa Lissu. Thanks God
Huyu Mungu mwacheni aitwe Bwana.

Hivi hawa watu hawajaelewa tu kuwa Lissu hatumii nguvu zake mwenyewe?? Lissu ana extra mysterious power
 
Hivi unajua Lissu anagombea Urais na anataka awe Rais wa Jamhuri. Hiki alichofanya ni ujinga na amethibitisha Hana Busara hata kidogo. Sasa hapo amemkomoa nani Kama siyo hao Wananchi ambao anataka wampigie kura awaongoze
Lissu alikuwa anakimbizana na muda huku mtumbwi ukimuacha. Na alishaambiwa siku ya leo hakifanyi kazi na hakina ratiba yoyote kutokana na ubovu.
 
Hofu ya kushindwa uchaguzi ni mbaya sana.
 
Hapo sasa anamkomoa nani zaidi yakuvuruga shughuli za wananchi tu.

Halafu hao halmashauri si waite tow trucks shida ipo wapi Lissu akirudi akute magari yake yamebebwa wayafuate ndani ya compound za halmashauri na fine juu za kupaki katikati ya njia; ukiamua unafunga na ofisi zenyewe mapema harudi kesho.

Heck wenye kivuko wakiamua wanamfungulia na kesi ya madai for loss of income of kwa kuzuia shughuli zao.

Vitu vingine ni upuuzi tu, jamaa zero kweli.
 
Vipi inafurahisha eeh! Mkuki kwa nguruwe
 
Lissu ndiye anaendesha hayo Magari!
Lissu alikuwa anakimbizana na muda huku mtumbwi ukimuacha. Na alishaambiwa siku ya leo hakifanyi kazi na hakina ratiba yoyote kutokana na ubovu.

Uliloko kajekudya.
 
Na hizi zinaturikia vipi?? Mikutano ya Lissu inayofurika habari wanazipata wapi??
Liss the Great
Sasa kama akina Lisu waliambiwa kibovu ikitakiwa washushe magari yao.Kwa nini waliyaacha kwenye ferry? Inahoonekana yalipoingia magari wao wkasepa kutafuta kick vyombo vya habari

Tuashukuru vyombo vingi vya habari kugoma kurusha kick zao feki
 
Hivi unajua Lissu anagombea Urais na anataka awe Rais wa Jamhuri. Hiki alichofanya ni ujinga na amethibitisha Hana Busara hata kidogo. Sasa hapo amemkomoa nani Kama siyo hao Wananchi ambao anataka wampigie kura awaongoze
Amewakomoa wenye kivuko, hawatafanya biashara

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Hivi unajua Lissu anagombea Urais na anataka awe Rais wa Jamhuri. Hiki alichofanya ni ujinga na amethibitisha Hana Busara hata kidogo. Sasa hapo amemkomoa nani Kama siyo hao Wananchi ambao anataka wampigie kura awaongoze
Walisema kivuko ni kibovu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…