Uchaguzi 2020 Tazama hii video ya kivuko alichozuiwa kupanda ndugu Tundu Lissu kwa madai kuwa ni kibovu kikiwa Mwibara kisha soma ufafanuzi wa yaliyotokea

Kwanini Lisdu afunge njia?? Haoni kuwa anawakwamisha watu! Inawezekana kweli kivuko kilikuwa kibovu lakini kimetengamaa baada ya kutengenezwa
Dada tumia sehemu ndogo tu ya akili yako kufikiria. Ameambiwa kivuko hakitafanya kazi siku nzima, ingekuwa wewe ungefanyaje?
 
Anazui watu kufanya shughuli zao halafu mnamsifu?? Inapaswa atoe faini
 
Ina maana hiyo entry inatumiwa na kivuko kimoja tu? Tuanzie hapo kiasi kwamba waambiwe wapaki magari yao hapo.
 
Na hao watu wakiamua wawe Wapumbavu Kama yete unajua Nini kitatokea kwenye hayo Magari.Halafu eti huyu ndiye anaomba awe Rais, wakati vitu vidogo Kama hivi anashindwa kuonyesha uvumilivu wake na Busara zake. Pumba....vu kabisa huyu jamaa
Kama uongozi Wa kivuko walimwambia Leo kivuko ni kibovu hakitakuwepo kwa siku nzima ya Leo,kulikuwa na kosa gani kupako hapo.
 
Te Tena analipia sio bure.
 
Hivi unajua Lissu anagombea Urais na anataka awe Rais wa Jamhuri. Hiki alichofanya ni ujinga na amethibitisha Hana Busara hata kidogo. Sasa hapo amemkomoa nani Kama siyo hao Wananchi ambao anataka wampigie kura awaongoze
Busara ya JPM kuzuia kivuko au kwako busara Ni one-way trafick
 
Pole kwa muwasho
Na hao watu wakiamua wawe Wapumbavu Kama yete unajua Nini kitatokea kwenye hayo Magari.Halafu eti huyu ndiye anaomba awe Rais, wakati vitu vidogo Kama hivi anashindwa kuonyesha uvumilivu wake na Busara zake. Pumba....vu kabisa huyu jamaa
 

[emoji4][emoji4] Hii ni noma sana
 
Ina maana hiyo entry inatumiwa na kivuko kimoja tu? Tuanzie hapo kiasi kwamba waambiwe wapaki magari yao hapo.
Kisorya -Ngoma Ukerewe kivuko ni kimoja tu, kikiwa upande mmoja was upande was pili mnalazimika kusubiri! Sasa Kama kweli waliambiwa kivuko hakitakuwepo siku nzima ya leo inachosha kufikiri sababu nafahamu idadi kubwa ya watu wanaovuka hapo Kila siku, ndiyo kwetu huko, tofauti na kuchelewa, mawimbi, Sina kumbukumbu ya siku wananchi waliwahi pewa taarifa hiyo. Miaka ya 1998+ watu binafsi walijaribu kuvusha watu kwa kutumia mitumbwi ya engine haikuchukua muda mrefu wakapigwa marufuku, hivyo kivuko hicho tu ndiyo hufanya kazi hiyo.
 
Awezi shinda kesi hiyo miaka 800 na mimi naombea wafanye ivyo waifungulie CDM kesi ya madai, halafu tuone umahiri wa Lissu.

Unadhani hizo ni zile kesi za ku interpret maandishi ya sheria, huko kuna tests zake na Lissu clearly is at fault.
kwaiyo kwa akili zako timamu unahisi hii kesi ikifunguliwa nani atashitakiwa? Lissu au?
 
Okay Let's Wait and Sees kila Msilalamike kwa Sheria za Barbara zitakapochukua mkondo walipiweka magari sio parking Kivuko kiwe kizima ua Kibovu huna mamlaka ya kuzuia njiaa
njia ya kuingia ziwani au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…