Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Mliologwa hamuwezi kuelewa chochoteWanao wasiwe na akili kama zako,,
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mliologwa hamuwezi kuelewa chochoteWanao wasiwe na akili kama zako,,
Kama wa kuzuia kivukoHuu sasa utoto
Dada tumia sehemu ndogo tu ya akili yako kufikiria. Ameambiwa kivuko hakitafanya kazi siku nzima, ingekuwa wewe ungefanyaje?Kwanini Lisdu afunge njia?? Haoni kuwa anawakwamisha watu! Inawezekana kweli kivuko kilikuwa kibovu lakini kimetengamaa baada ya kutengenezwa
Tunazidi kuwaombea wanao, we tumekupoteza tayari
Geita Kuna bahari? Futa ujinga kwanzaNingekua mimi Ningeyatupa BAHARINI
Ina maana hiyo entry inatumiwa na kivuko kimoja tu? Tuanzie hapo kiasi kwamba waambiwe wapaki magari yao hapo.Wewe acha ujinga, kwenye kivuko anaye agiza gari weka hapa au pale ni wahudumu wa eneo la kivuko sio kuwa unaingiza tuu gari na kupaki.
Usichojua ni kuwa wamewaambia wapaki hapo Ila kivuko hakiwezi kupona Leo hadi kesho.
Sasa ulitegemea madereva waache kazi zingine walale kwenye magari?
Hapo wameondoka na magari lazima wameyakabidhi kwao, kwa akili yako gari unaweza kuiacha hovyo?
Shida ni kuwa amri ya kusema kivuko kiwe kibovu imetoka kwa watu wasio kuwepo hapo site
Kama uongozi Wa kivuko walimwambia Leo kivuko ni kibovu hakitakuwepo kwa siku nzima ya Leo,kulikuwa na kosa gani kupako hapo.Na hao watu wakiamua wawe Wapumbavu Kama yete unajua Nini kitatokea kwenye hayo Magari.Halafu eti huyu ndiye anaomba awe Rais, wakati vitu vidogo Kama hivi anashindwa kuonyesha uvumilivu wake na Busara zake. Pumba....vu kabisa huyu jamaa
Kuna mtu anatoa uhai wa watu wengine na bado mnakenua nae tu...Anazui watu kufanya shughuli zao halafu mnamsifu?? Inapaswa atoe faini
Tena analipia sio bure.Ni ulize Swali Hivi Kivuko ni Cha CCM, serikali au mtu Binafsi. Kwa nini roho Mbaya CCM wanafanya. Hivi Mgemwacha akapanda Kivuko na kwenda kuonana na watanzania wenzake ndo mngepungukiwa nini. Ijulika Fujo za Nchi Hii Chanzo itakuwa CCM...Mungu anawaona CCM. Yaani Chuki, Visasi, uonevu na kila aina ya dhuruma ni CCM,,,Daaa!!!
Busara ya JPM kuzuia kivuko au kwako busara Ni one-way trafickHivi unajua Lissu anagombea Urais na anataka awe Rais wa Jamhuri. Hiki alichofanya ni ujinga na amethibitisha Hana Busara hata kidogo. Sasa hapo amemkomoa nani Kama siyo hao Wananchi ambao anataka wampigie kura awaongoze
Hawakujua ka kuna kivuko kitakuwepo Leo,hivyo hawama kosaKwahiyo hao raia happy ndio wamemfanyia Hilo Jambo. Wangeweka Gari zao pembeni wangepungukiwa Nini!?
unaongea kama choko vile.Kwanini Lisdu afunge njia?? Haoni kuwa anawakwamisha watu! Inawezekana kweli kivuko kilikuwa kibovu lakini kimetengamaa baada ya kutengenezwa
Na hao watu wakiamua wawe Wapumbavu Kama yete unajua Nini kitatokea kwenye hayo Magari.Halafu eti huyu ndiye anaomba awe Rais, wakati vitu vidogo Kama hivi anashindwa kuonyesha uvumilivu wake na Busara zake. Pumba....vu kabisa huyu jamaa
Pole kwa muwashoWhat if hao raia hapo nao wakaamua kumwaga mchuzi hapo kwenye hayo Magari!
Kwenye video hapa chini kinaonekana kivuko ambacho kipo upande wa Mwibara. Kilitoka Ukerewe kwenda Mwibara ambapo kimemuacha ndugu Lissu akiwa Ukerewe kwenye mkutano. Yani Lissu amefika Ukerewe na kivuko kikatoka Ukerewe (Na tuliambiwa kuwa ni kibovu)
Tazama mbele ya kivuko yanaonekana magari. Magari haya ni pamoja na gari la Tundu Lissu (Prado nyeupe) na magari mengine ya msafara wa Lissu ambayo walitaka kuyavusha kwa kutumia kivuko hicho kutoka Mwibara kwenda Ukerewe. Sasa kwa kuwa waliambiwa kuwa kivuko ni kibovu, wakamua kuyaacha magari yao hapo (kama yanavyoonekana) kisha wakaenda zao Ukerewe kwa kutumia Mtumbwi.
Sasa ajabu kivuko kimetoka Ukerewe kimefika Mwibara hatimaye wameshindwa kushusha mizigo na mabasi waliyopaki ndani ya kivuko kwa kuwa magari ya msafara wa Lissu yaliachwa hapo na madereva wote wameenda Ukerewe pamoja na Lissu (Yame block njia).Sasa wanalazimika kusubiri hadi atoke Ukerewe ndipo waje watoe hayo magari ili kivuko kiweze kushusha mizigo na hayo mabasi.
Angalizo: Tundu Lissu aliambiwa kuwa kivuko ni kibovu na kwa leo kisingefanya kazi kabisa!
Swali, hapo nani kacheza kitoto?
View attachment 1599922
Kisorya -Ngoma Ukerewe kivuko ni kimoja tu, kikiwa upande mmoja was upande was pili mnalazimika kusubiri! Sasa Kama kweli waliambiwa kivuko hakitakuwepo siku nzima ya leo inachosha kufikiri sababu nafahamu idadi kubwa ya watu wanaovuka hapo Kila siku, ndiyo kwetu huko, tofauti na kuchelewa, mawimbi, Sina kumbukumbu ya siku wananchi waliwahi pewa taarifa hiyo. Miaka ya 1998+ watu binafsi walijaribu kuvusha watu kwa kutumia mitumbwi ya engine haikuchukua muda mrefu wakapigwa marufuku, hivyo kivuko hicho tu ndiyo hufanya kazi hiyo.Ina maana hiyo entry inatumiwa na kivuko kimoja tu? Tuanzie hapo kiasi kwamba waambiwe wapaki magari yao hapo.
kwaiyo kwa akili zako timamu unahisi hii kesi ikifunguliwa nani atashitakiwa? Lissu au?Awezi shinda kesi hiyo miaka 800 na mimi naombea wafanye ivyo waifungulie CDM kesi ya madai, halafu tuone umahiri wa Lissu.
Unadhani hizo ni zile kesi za ku interpret maandishi ya sheria, huko kuna tests zake na Lissu clearly is at fault.
njia ya kuingia ziwani au?Okay Let's Wait and Sees kila Msilalamike kwa Sheria za Barbara zitakapochukua mkondo walipiweka magari sio parking Kivuko kiwe kizima ua Kibovu huna mamlaka ya kuzuia njiaa