Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Hii ni chart ya Shilingi ya Kenya vs Shillingi ya Tz, kama mnavyoona shilingi yetu iliporomoka dhidi ya Shilingi ya Kenya hadi kufikia
1Ksh=Tshs 23 kipindi cha Magufuli,
Samia amefufua uchumi wa nchi na sasa shilingi yetu imepanda dhidi ya Kenya hadi kufikia
1Ksh=18Tshs.
Na ndio kwanza hata miaka miwili hajamaliza
Samia anatufundisha uongozi sio kupiga wapinzani risasi ama kufoka foka kila mara jukwaani.
Uongozi unahitaji akili diplomasia na akili ya biashara
Happy Birthday Samia