masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
Hasa Kenya kinaenda chakula , kwa wingi sana.Sasa mkuu Tanzania tuna zalisha bidhaa gani za kupeleka kenya? Kama wananchi wa Dar wanatumia bidhaa kutoka Kenya na Supermarket zote zimejaa bidhaa kutoka Kenya, na Phamace zote ukienda kununua dawa utapewa dawa kutoka kenya au India
Mahindi, machungwa, mananasi, mbao za Sao Hill na hivi karibuni hata makaa ya mawe.