SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Amemzidi katika kutumia hizo akiliHebu rudia, umesema Samia ana akili kuliko Magufuli au sijaelewa unamaanisha nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amemzidi katika kutumia hizo akiliHebu rudia, umesema Samia ana akili kuliko Magufuli au sijaelewa unamaanisha nini?
Ni mpumbavu tuu ndio atakaye unga mkono upumbavu huu.
Wanasumbua sanaChawa wa mama
Na sasa hivi iko 4.9 hiyo controll ni ipi ?2016-17 ilikua 5.1,5.3% mtawalia,2018-21 ilikua wastani wa 3.5
Nonsense.View attachment 2497979
Hii ni chart ya Shilingi ya Kenya vs Shillingi ya Tz, kama mnavyoona shilingi yetu iliporomoka dhidi ya Shilingi ya Kenya hadi kufikia
1Ksh=Tshs 23 kipindi cha Magufuli,
Samia amefufua uchumi wa nchi na sasa shilingi yetu imepanda dhidi ya Kenya hadi kufikia
1Ksh=18Tshs.
Na ndio kwanza hata miaka miwili hajamaliza
Samia anatufundisha uongozi sio kupiga wapinzani risasi ama kufoka foka kila mara jukwaani.
Uongozi unahitaji akili diplomasia na akili ya biashara
Happy Birthday Samia
Huyu mtoa mada Hana akiliView attachment 2497979
Hii ni chart ya Shilingi ya Kenya vs Shillingi ya Tz, kama mnavyoona shilingi yetu iliporomoka dhidi ya Shilingi ya Kenya hadi kufikia
1Ksh=Tshs 23 kipindi cha Magufuli,
Samia amefufua uchumi wa nchi na sasa shilingi yetu imepanda dhidi ya Kenya hadi kufikia
1Ksh=18Tshs.
Na ndio kwanza hata miaka miwili hajamaliza
Samia anatufundisha uongozi sio kupiga wapinzani risasi ama kufoka foka kila mara jukwaani.
Uongozi unahitaji akili diplomasia na akili ya biashara
Happy Birthday Samia
Rekodi ya kiwango Cha juu ni zaidi ya 33% kipindi Cha Nyerere,lakini kati ya 1999-2022 rekodi ilikua 2011 kwa 19pc.....umeelewa maana ya under control!?Na sasa hivi iko 4.9 hiyo controll ni ipi ?
Yule mporipori aliamini kutumia mitutu ya bunduki kuliko kutumia akili, tunamshukuru Mungu kutuamulia huu ugomvi
Tusi liko wapi hapo? Au nyie wahutu Kiswahili kinawapa shida kuelewaMkuu JPM kafariki tayari. Haya Sasa Karudie kusoma alichoandika jamaa then Kama una akili nje ya kutukana marehemu, anza kuijadili mada yake Kama utarudi kumsifia.
Uteuzi mtamu sana mkuuSisi wabongo ni wazee wa mapambio kila awamu...
Ni juzi juzi tu hapa JPM akiwa hai, pambio kuu lilikuwa ni uchumi wa chini wa kati, sifa kemkem...
Sasa hayo yote yamesahaulika, marehemu anapigwa madongo na mama anapambwa kama ilivyokuwa kwa JPM...
Mkuu mfumuko wa bei hatuhitaji takwimu ambazo mimi na wewe tunaweza tusijue zimepatikanaje.Rekodi ya kiwango Cha juu ni zaidi ya 33% kipindi Cha Nyerere,lakini kati ya 1999-2022 rekodi ilikua 2011 kwa 19pc.....umeelewa maana ya under control!?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119]View attachment 2497979
Hii ni chart ya Shilingi ya Kenya vs Shillingi ya Tz, kama mnavyoona shilingi yetu iliporomoka dhidi ya Shilingi ya Kenya hadi kufikia
1Ksh=Tshs 23 kipindi cha Magufuli,
Samia amefufua uchumi wa nchi na sasa shilingi yetu imepanda dhidi ya Kenya hadi kufikia
1Ksh=18Tshs.
Na ndio kwanza hata miaka miwili hajamaliza
Samia anatufundisha uongozi sio kupiga wapinzani risasi ama kufoka foka kila mara jukwaani.
Uongozi unahitaji akili diplomasia na akili ya biashara
Happy Birthday Samia
2016/17 Bei zilikuwaje na ulikuwa wakati wa nani!?...Mimi wakati wa jakaya nilinunua mfuko wa urea elf 18, dap 25.... unamaanisha huwaamini NBS.. NBS wakudanganye 'kipindi hiki' ili iweje!?...unga 2017 ulifika 2500 kiloMkuu mfumuko wa bei hatuhitaji takwimu ambazo mimi na wewe tunaweza tusijue zimepatikanaje.
Tuangalie tu uhalisia wa bidhaa sokoni.
Mafuta ya kula chini ya JPM yalikuwa 5000 kwa lita hivi sasa ni 8500 hiyo ni kiashiria cha inflation,
Maharage chini ya JPM yalikuwa 1600-2000 ila kwa sasa kwa bei ya leo sokoni ni 4000.
Mbolea chini ya JPM ilikuwa 60000 mfuko wa kila 50 Urea leo hii ni 120000 bila Ruzuku.
Bati chini ya JPM ilikuwa 240000-270000 kwa Bando sasa ni 400000+.
Sabuni mchi wa Sabuni tulinunua kwa 1500 bei ya juu sasa ni 3500.
Chumvi kwa miaka 7 mfululizo tulinunua mfuko wa 20kg kwa 6000-7000 sasa ni 12000.
Hebu nieleze hii control ya inflation wewe unaiona wapi ???