Tazama jinsi Samia alivyomzidi akili Magufuli kwenye uchumi

View attachment 2497979

Hii ni chart ya Shilingi ya Kenya vs Shillingi ya Tz, kama mnavyoona shilingi yetu iliporomoka dhidi ya Shilingi ya Kenya hadi kufikia
1Ksh=Tshs 23 kipindi cha Magufuli,

Samia amefufua uchumi wa nchi na sasa shilingi yetu imepanda dhidi ya Kenya hadi kufikia
1Ksh=18Tshs.
Na ndio kwanza hata miaka miwili hajamaliza

Samia anatufundisha uongozi sio kupiga wapinzani risasi ama kufoka foka kila mara jukwaani.

Uongozi unahitaji akili diplomasia na akili ya biashara
Happy Birthday Samia
Mnapoamua kumtukana mtu tukana tusi lisikike na lieleweke usitukane nusunusu
 
View attachment 2497979

Hii ni chart ya Shilingi ya Kenya vs Shillingi ya Tz, kama mnavyoona shilingi yetu iliporomoka dhidi ya Shilingi ya Kenya hadi kufikia
1Ksh=Tshs 23 kipindi cha Magufuli,

Samia amefufua uchumi wa nchi na sasa shilingi yetu imepanda dhidi ya Kenya hadi kufikia
1Ksh=18Tshs.
Na ndio kwanza hata miaka miwili hajamaliza

Samia anatufundisha uongozi sio kupiga wapinzani risasi ama kufoka foka kila mara jukwaani.

Uongozi unahitaji akili diplomasia na akili ya biashara
Happy Birthday Samia
Vitu vingine vya kijinga msiwe mnaongea hadhalani?
Baada ya kupungua hiyo pesa wananchi wa Tanzania shida zao zimepungua au?
Leteni vitu vya maana na sio upupu.
 
2016/17 Bei zilikuwaje na ulikuwa wakati wa nani!?...Mimi wakati wa jakaya nilinunua mfuko wa urea elf 18, dap 25.... unamaanisha huwaamini NBS.. NBS wakudanganye 'kipindi hiki' ili iweje!?...unga 2017 ulifika 2500 kilo
Bei za kila kitu zimepanda dunia nzima sababu ya factpr mbalimbali,
Magufuli angekuwepo ndio vingepanda zaidi maana alifikiri kila kitu dawa yake ni bunduki
 
Magufuli amekufa Dollar ikiwa 2290 hadi 2309 leo Dola ni 2370

Ndugu chawa hilo unalisemaje?
Dolar imapanda sana ya hela zote duniani
Dhidi ya Pound, Euro, Yen, Yuan, Tshs, Ugx, Kshs, na Rupee, n.k
 
Sisi wabongo ni wazee wa mapambio kila awamu...

Ni juzi juzi tu hapa JPM akiwa hai, pambio kuu lilikuwa ni uchumi wa chini wa kati, sifa kemkem...

Sasa hayo yote yamesahaulika, marehemu anapigwa madongo na mama anapambwa kama ilivyokuwa kwa JPM...
Zile zilikuwa ni propaganda, hizi ni facts, lazima ujue kutofautisha kati ya propaganda na facts
 
Dolar imapanda sana ya hela zote duniani
Dhidi ya Pound, Euro, Yen, Yuan, Tshs, Ugx, Kshs, na Rupee, n.k
Umejibu vyema, kwa nini inapanda na sisi shilingi yetu inashuka?

Na jambo lingine, fedha ambayo ni gold standard ya kupimia fedha za nchi nyingine ni ipi, ni kenya shilings ana USD?
 
USD ndio kimbilio la watu wengi kipindi cha crisis, so huwa inapanda sababu ndio hela inayokuwa kwenye demand kubwa kipindi cha majanga

So USD imepanda dhidi ya shilingi yetu si kwa sababu shilingi yetu imeporomoka bali ni kutokana na crisis iliyopo duniani inafanya watu wengi kukimbilia kunununua USD

Ukitaka kulinganisha hela ya nchi yako linganisha na regional currencies kama UGX, Kshs,
Kshs ndio hela imara zaidi kwenye ukanda wetu
 
Sio kweli. Umechemka big time.

Na hii ndio shida ya kua chawa, hata basic principles za economics zinakushinda ama unaamua tu kuzi-ignore kwa sababu ya uchawa.

Unaelewa kitu kinachoitwa Balance of Payments? Unaelewa maana ya Current Account deficit?

Hua unasoma BOT monthly report? Ile haina uchawa, hua unaipitia?

Je unajua ni kwa nini kipindi cha Magufuli Current Account yetu ilikua na uwezo wa kuagiza bidhaa nje kwa miezi 6 na sasa imeshuka hadi miezi 4 ama 3?
 
screenshot_20230128-100215-png.2497979

Huna haja ya kuandikia mate mkuu, Tazama tu shillingi ya Kenya inavyoshuka ukilinganisha na ya Tanzania.
Screenshot_2023-01-28-20-07-17-46_680d03679600f7af0b4c700c6b270fe7.jpg
 
Inflation huku kwetu hakuna:-
  • Mchele Super wa Mbeya Kg 1 - 1,800/-
  • Mafuta kupikia Lita 1 - 3,000/-
  • Soda - 500/-
  • Bia - 1500/-

Maisha raha mstarehe...[emoji23][emoji23][emoji23] yaani USD 1 huku tunainunua kwa Tsh. 1,800/-
[emoji23][emoji23][emoji23] bora wewe umeamua kuwapa kile wanachotaka kukisikia ili waendelee kusifu
 
Sio kweli. Umechemka big time.

Na hii ndio shida ya kua chawa, hata basic principles za economics zinakushinda ama unaamua tu kuzi-ignore kwa sababu ya uchawa.

Unaelewa kitu kinachoitwa Balance of Payments? Unaelewa maana ya Current Account deficit?

Hua unasoma BOT monthly report? Ile haina uchawa, hua unaipitia?

Je unajua ni kwa nini kipindi cha Magufuli Current Account yetu ilikua na uwezo wa kuagiza bidhaa nje kwa miezi 6 na sasa imeshuka hadi miezi 4 ama 3?
Kuna wakati unasoma comments hapa unabaki kushangaa tu.Mkuu hapa wewe changia ukijua unajibizana na watu mwisho wa siku wanakwenda kureport nini wamefanya kwa siku hiyo kusifia ili wapate mkate wa kupeleka mezani kwa familia zao.
 
Sio kweli. Umechemka big time.

Na hii ndio shida ya kua chawa, hata basic principles za economics zinakushinda ama unaamua tu kuzi-ignore kwa sababu ya uchawa.

Unaelewa kitu kinachoitwa Balance of Payments? Unaelewa maana ya Current Account deficit?

Hua unasoma BOT monthly report? Ile haina uchawa, hua unaipitia?

Je unajua ni kwa nini kipindi cha Magufuli Current Account yetu ilikua na uwezo wa kuagiza bidhaa nje kwa miezi 6 na sasa imeshuka hadi miezi 4 ama 3?
Hayo yote nayafahamu, kama unataka mjadala, hit pointi, sio kuzunguka zunguka
 
Siwezi kujadiliana na wewe kama simple and basic economics principle huzijui.

Nilikua najaribu kukuvuta uingie kingi, umejaa kama nilivyokua nategemea. Sina neno mkuu.
 
View attachment 2497979

Hii ni chart ya Shilingi ya Kenya vs Shillingi ya Tz, kama mnavyoona shilingi yetu iliporomoka dhidi ya Shilingi ya Kenya hadi kufikia
1Ksh=Tshs 23 kipindi cha Magufuli,

Samia amefufua uchumi wa nchi na sasa shilingi yetu imepanda dhidi ya Kenya hadi kufikia
1Ksh=18Tshs.
Na ndio kwanza hata miaka miwili hajamaliza

Samia anatufundisha uongozi sio kupiga wapinzani risasi ama kufoka foka kila mara jukwaani.

Uongozi unahitaji akili diplomasia na akili ya biashara
Happy Birthday Samia
NA dorra

Usdorras ilikuwa 2310 Sasa 2350 unafikilia wenye viwanda wanaangalia izo madafu zenu
 
Siwezi kujadiliana na wewe kama simple and basic economics principle huzijui.

Nilikua najaribu kukuvuta uingie kingi, umejaa kama nilivyokua nategemea. Sina neno mkuu.
Wewe ni kenge, unauliza kuhusu terminologies nakuambia nazijua, huna point, nenda kwenye nyuzi za size yako
 
Back
Top Bottom