Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
- Thread starter
- #101
Hawana hoja hao zaidi ya matusiMtoa mada ana akili kuliko wewe usiye na hoja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawana hoja hao zaidi ya matusiMtoa mada ana akili kuliko wewe usiye na hoja
Dola imepanda dhidi ya currencies zote duniani,NA dorra
Usdorras ilikuwa 2310 Sasa 2350 unafikilia wenye viwanda wanaangalia izo madafu zenu
Mambo ya kusifia ili upate teuzi yalikuwa kipindi cha jiwe mzee, ndio maana akina Katambi, Jerry Muro, Makonda wakapewa vyeo kwa kutukana upinzaniKuna wakati unasoma comments hapa unabaki kushangaa tu.Mkuu hapa wewe changia ukijua unajibizana na watu mwisho wa siku wanakwenda kureport nini wamefanya kwa siku hiyo kusifia ili wapate mkate wa kupeleka mezani kwa familia zao.
Inflation iko controlled ??
Umeshathibitisha kiakili huna uwezo wa kujadiliana na mimi. Unachoweza labda ni matusi tu.Wewe ni kenge, unauliza kuhusu terminologies nakuambia nazijua, huna point, nenda kwenye nyuzi za size yako
Shida mtu akishakua chawa anakua hata akili anaipoteza, wengi wanatumia makalio kufikiri.Kuna wakati unasoma comments hapa unabaki kushangaa tu.Mkuu hapa wewe changia ukijua unajibizana na watu mwisho wa siku wanakwenda kureport nini wamefanya kwa siku hiyo kusifia ili wapate mkate wa kupeleka mezani kwa familia zao.
Matusi umeyaanza wewe, huna point zaidi ya kujitapa una akiliUmeshathibitisha kiakili huna uwezo wa kujadiliana na mimi. Unachoweza labda ni matusi tu.
Kulikuwa hakuna mambo ya kutekana, uhuru kama wote, hakuna kuporwa pesa zako,biashara kama kawaHivi Tanzania kabla ya Magufuli ilikuaje? Kuna wakati najiuliza hili swali.
🤣🤣🤣🤣we jamaaSamia anatufundisha uongozi sio kupiga wapinzani risasi ama kufoka foka kila mara jukwaani.
Unaleta story kwenye mambo ya msingi,kabla yakuleta takwimu,tuambie kipi kimestabilize inflation rateYeah,ipo controlled
WrongUSD ndio kimbilio la watu wengi kipindi cha crisis, so huwa inapanda sababu ndio hela inayokuwa kwenye demand kubwa kipindi cha majanga
So USD imepanda dhidi ya shilingi yetu si kwa sababu shilingi yetu imeporomoka bali ni kutokana na crisis iliyopo duniani inafanya watu wengi kukimbilia kunununua USD
Ukitaka kulinganisha hela ya nchi yako linganisha na regional currencies kama UGX, Kshs,
Kshs ndio hela imara zaidi kwenye ukanda wetu
Hiii ndio tanzania kakaaa[emoji3]Sisi wabongo ni wazee wa mapambio kila awamu...
Ni juzi juzi tu hapa JPM akiwa hai, pambio kuu lilikuwa ni uchumi wa chini wa kati, sifa kemkem...
Sasa hayo yote yamesahaulika, marehemu anapigwa madongo na mama anapambwa kama ilivyokuwa kwa JPM...
Mimi nafahamu yote hayo, ila thamani ya dola vs Shilingi inaathiriwa na factor nyingi zaidi ya export na imports zetuWrong
USD ni Pesa ambayo tunapokea pale tunapouza bidhaa nje, au tunapo pokea misaada.
Endapo tusipouza nje bidhaa nyingi ila twanunua nyingi maana yake twatumia Dollar yetu. Ili kufanya regulation BOT huongeza rate ili ununuzi upungue.
Tanzania hupata dollar nyingi kwenye dhahabu na Utalii, ikifuatia na mazao ya kilimo.
Ila hutumia nyingi zaidi kwenye kuagiza Mafuta ya Kula, na Petroleum products zingine.
Ili fedha yetu iende juu yatakiwa tuuze bidhaa nyingi nje ya Tanzania.
Kama huwezi kununua maharage kalime utajirikeMaharage kilo 3500 huko.. Sijui shilingi 1 ya kenya kuwa 18 ya tz ina msaada gani katika hili.
Naomba wachumi wanijibu.
Kaka ..Mkuu mfumuko wa bei hatuhitaji takwimu ambazo mimi na wewe tunaweza tusijue zimepatikanaje.
Tuangalie tu uhalisia wa bidhaa sokoni.
Mafuta ya kula chini ya JPM yalikuwa 5000 kwa lita hivi sasa ni 8500 hiyo ni kiashiria cha inflation,
Maharage chini ya JPM yalikuwa 1600-2000 ila kwa sasa kwa bei ya leo sokoni ni 4000.
Mbolea chini ya JPM ilikuwa 60000 mfuko wa kila 50 Urea leo hii ni 120000 bila Ruzuku.
Bati chini ya JPM ilikuwa 240000-270000 kwa Bando sasa ni 400000+.
Sabuni mchi wa Sabuni tulinunua kwa 1500 bei ya juu sasa ni 3500.
Chumvi kwa miaka 7 mfululizo tulinunua mfuko wa 20kg kwa 6000-7000 sasa ni 12000.
Hebu nieleze hii control ya inflation wewe unaiona wapi ???
Sawa kabisaa mkuuVitu vingine vya kijinga msiwe mnaongea hadhalani?
Baada ya kupungua hiyo pesa wananchi wa Tanzania shida zao zimepungua au?
Leteni vitu vya maana na sio upupu.