Sorry ujuwe akili yako Haina uchumi kichwani? Kenya hawana siasa kama za Tz chama dola umenisoma? Kenya anachofanya ni mchezo wa paka na panya why wao wapo mbali kwenye ujasusi wa uchumi Yani anashusha sh yake while anazowa chakula chote na kuuza kwa Dola while Dola anakupa yeye nadhani hujuwo soko la Dola lipo hapo Kenya na wakifunga hapa unapumoulia machine ameshusha tamani ya Tz akupige kwenye chakula naView attachment 2497979
Hii ni chart ya Shilingi ya Kenya vs Shillingi ya Tz, kama mnavyoona shilingi yetu iliporomoka dhidi ya Shilingi ya Kenya hadi kufikia
1Ksh=Tshs 23 kipindi cha Magufuli,
Samia amefufua uchumi wa nchi na sasa shilingi yetu imepanda dhidi ya Kenya hadi kufikia
1Ksh=18Tshs.
Na ndio kwanza hata miaka miwili hajamaliza
Samia anatufundisha uongozi sio kupiga wapinzani risasi ama kufoka foka kila mara jukwaani.
Uongozi unahitaji akili diplomasia na akili ya biashara
Happy Birthday Samia
soko la Dola mjinga... Sorry endelea kushangilia birthday... Neno la Mungu linasema mna angamia kwa kukosa maarifa.