Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Daaah Nchi Ina wajinga kupindukia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli mkuu ndio maana misukule inamshangilia jiwe jadi leo hiiDaaah Nchi Ina wajinga kupindukia
Umemaliza kila kitu.Hutawaweza chawa.
Nchi nyingi zimeporomoka kiuchumi, lock down ikiwa sababu kubwa, Samia alisema hii nchi haitakuwa locked down, nadhani hapo ndipo alipomzidi Jiwe sio?
Kwa bahati mbaya, biashara na nchi nyingine, hata hiyo Kenya zinafanyika kwa dollar, sijui Tzs vs Usd ikoje kabla na sasa?
Deni limekuwa kwa kiasi gani, kabla na sasa?
Upigaji umeongezeka kwa kiasi gani? Uhalifu? Uharibifu? Rushwa? Urasimu? Uzembe?
GDP inakwendaje? Wanasema inflation iko controlled? Kivipi? Hizo data za kupikiliza? Maana kama walisema jiwe anapika, wao wanapikiliza!
Kitu tangible walichokifanya kwa sasa ni kuhakikisha pesa zote zimetakatishwa kwa kutumia mikopo, wamejaza yard zao za magari, ushuru wanalipa watumia miamala ya simu.
10,000 kwa sasa, ni ngumu kuipata lakini haina nguvu sokoni.
Inflation gani controlled soda 700/= toka 500=, bia 1,700/=, mchele 3,000/=+ kutoka 1,500/=, maharage 4,000/=per kg kutoka 1,600/= per kg, gas small cylinder 23,000/= toka 18,000/= nauli za daladala 650/= kutoka 450/= usiwe mwanasiasa kuwa realisticTanzania kwa sasa tuna export bidhaa zaidi huko Kenya kuliko Kenya wanacholeta kwetu.
Hivyo T Shilling lazima iimarike.
Na Dollar bado iko stable kwa muda mrefu.
Nchi imeimarika kibiashara na inflation iko controlled.
Tunakumba serikali ya Magufuli ilipochoma vifaranga pale mpakani Namanga.
Jamaa alifrustrate nchi kibiashara hadi wafanya biashara wanoweza kulipa kodi stahiki walikimbia nchi.
Ukilinganisha na kipindi cha Jiwe ilikuwaje?Usiwe unabisha Kama takwimu huna, inflation mpaka November ilikua 4.9
Mfafanulie mtu wa mtaani kwa lugha nyepesi akuelewe ambae mtu huyu akienda kununua mchele anakuta unauzwa 3,500 na kilo ya maharage 4,000,nini unamaanisha unaposema inflation imekuwa controlled.Usiwe unabisha Kama takwimu huna, inflation mpaka November ilikua 4.9
Wanajaribu kufanya sugarcoating ya tatizo as if watu wote ni wajinga kama wao.BOT wanasema sijuu 4.5%
Nchi zote waliotuzunguka wapo juu ya 9%, wengine mpaka 23%.
Wakulima wanauza ovyo mazao nje bila records wala data, tena wanauzia mashambani kwa pesa local, kisha mjuaji mmoja anakwambia tuna export zaidi kuliko Kenya wanavyo import toka kwetu, kweli?
Unanunua bidhaa kutoka kwao kwa dollar, wao wananunua mazao kutoka shambani kwako kwa shilingi yenu, tena wala usijue nani kauza nini, kisha unakuja kutuambia, ume export zaidi? Pathetic fools
Linganisha tsh kwa dollar utajiona ulivyo mpumbavu. Wakati wa JPM dollar haikuzidi 2,330View attachment 2497979
Hii ni chart ya Shilingi ya Kenya vs Shillingi ya Tz, kama mnavyoona shilingi yetu iliporomoka dhidi ya Shilingi ya Kenya hadi kufikia
1Ksh=Tshs 23 kipindi cha Magufuli,
Samia amefufua uchumi wa nchi na sasa shilingi yetu imepanda dhidi ya Kenya hadi kufikia
1Ksh=18Tshs.
Na ndio kwanza hata miaka miwili hajamaliza
Samia anatufundisha uongozi sio kupiga wapinzani risasi ama kufoka foka kila mara jukwaani.
Uongozi unahitaji akili diplomasia na akili ya biashara
Happy Birthday Samia
Ni kweli na wajinga wenyewe ni nyinyi wafuasi wa jiwe.Daaah Nchi Ina wajinga kupindukia
Kabla ya Magufuli ilikua hiviHivi Tanzania kabla ya Magufuli ilikuaje? Kuna wakati najiuliza hili swali.
Kila Rais kafanya yake, Kikwete naye aliingia na kuacha vyuo, barabara shule na hospitali kibao, ajira bwerereKabla ya Magufuli ilikua hivi
Mfugale Flyover haikuwepo
Kijazi Flyover haikuwepo
Bus za Mwendokasi hazikuwepo
Treni za Mwendokasi haziwepo
Magufuli Hostel UDSM hazikuwepo
Ukuta kuizunguka UDSM haukuwepo
Ukuta wa Mererani haukuwepo
Soko la Madini la ndani halikuwepo
Magufuli Bus Terminal haikuepo
Nmeandika machache yanayoweza kuonekana kwa macho,
Dola imepanda sana dhidi ya hela zote duniani,Linganisha tsh kwa dollar utajiona ulivyo mpumbavu. Wakati wa JPM dollar haikuzidi 2,330
Hivi maana ya Inflation ni nini? Au mi ndiyo kilaza sijui kusoma na ata picha kuona sion!Tanzania kwa sasa tuna export bidhaa zaidi huko Kenya kuliko Kenya wanacholeta kwetu.
Hivyo T Shilling lazima iimarike.
Na Dollar bado iko stable kwa muda mrefu.
Nchi imeimarika kibiashara na inflation iko controlled.
Tunakumba serikali ya Magufuli ilipochoma vifaranga pale mpakani Namanga.
Jamaa alifrustrate nchi kibiashara hadi wafanya biashara wanoweza kulipa kodi stahiki walikimbia nchi.
Huu ujinga mtaacha lini!?View attachment 2497979
Hii ni chart ya Shilingi ya Kenya vs Shillingi ya Tz, kama mnavyoona shilingi yetu iliporomoka dhidi ya Shilingi ya Kenya hadi kufikia
1Ksh=Tshs 23 kipindi cha Magufuli,
Samia amefufua uchumi wa nchi na sasa shilingi yetu imepanda dhidi ya Kenya hadi kufikia
1Ksh=18Tshs.
Na ndio kwanza hata miaka miwili hajamaliza
Samia anatufundisha uongozi sio kupiga wapinzani risasi ama kufoka foka kila mara jukwaani.
Uongozi unahitaji akili diplomasia na akili ya biashara
Happy Birthday Samia
Tafsiri ya sahihu inatakiwa iwe hela yetu imeimarika au Ksh yenye imeshuka thaman kutoka na factor zao wenyewe na sio Tsh imekuwa strong? Mfano leo hii Dollar ishuke thaman! Utasema Tsh imekuwa kutokana na nchi ya Tanzania kufanya vizuri kwenye biashara au kuna factor za huko kidunia zimesababisha thaman ya USD kupolomoka?View attachment 2497979
Hii ni chart ya Shilingi ya Kenya vs Shillingi ya Tz, kama mnavyoona shilingi yetu iliporomoka dhidi ya Shilingi ya Kenya hadi kufikia
1Ksh=Tshs 23 kipindi cha Magufuli,
Samia amefufua uchumi wa nchi na sasa shilingi yetu imepanda dhidi ya Kenya hadi kufikia
1Ksh=18Tshs.
Na ndio kwanza hata miaka miwili hajamaliza
Samia anatufundisha uongozi sio kupiga wapinzani risasi ama kufoka foka kila mara jukwaani.
Uongozi unahitaji akili diplomasia na akili ya biashara
Happy Birthday Samia
Sasa mkuu Tanzania tuna zalisha bidhaa gani za kupeleka kenya? Kama wananchi wa Dar wanatumia bidhaa kutoka Kenya na Supermarket zote zimejaa bidhaa kutoka Kenya, na Phamace zote ukienda kununua dawa utapewa dawa kutoka kenya au IndiaTanzania kwa sasa tuna export bidhaa zaidi huko Kenya kuliko Kenya wanacholeta kwetu.
Hivyo T Shilling lazima iimarike.
Na Dollar bado iko stable kwa muda mrefu.
Nchi imeimarika kibiashara na inflation iko controlled.
Tunakumba serikali ya Magufuli ilipochoma vifaranga pale mpakani Namanga.
Jamaa alifrustrate nchi kibiashara hadi wafanya biashara wanoweza kulipa kodi stahiki walikimbia nchi.
Inflation maana yake ni fedha kukosa thamani.Hivi maana ya Inflation ni nini? Au mi ndiyo kilaza sijui kusoma na ata picha kuona sion!