Tazama katika picha hii Namna wanajeshi wetu walivyofurahi na kutabasamu baada ya kuonana na Rais Samia

Mashaallah, w
Mashaallah, Wajeda wamebubujika
 
ni furaha isiyo na kifani wallah

jisi huyu mama anavyoiendesha nchi ni kama mujiza kwa kweli ama kwa hakika nchi iko mikono salama ya mama yetu kipenzi
Ni furaha na tabasamu kila sehemu kutokana na uwepo wa Rais Samia katika usukani.
 
Mbaya zaidi unakuta hata katiba ya chama chako hujui alafu leo ndo uchawa mpaka kwenye kucha na kujifanya unaijua ccm, ichi chama kipo na wenyewe nao ndo wanajua kwamba ccm imekufa kifo kibaya sio nyie machawa wa Buza
Wenye CCM ni sisi wanachama wake.
 
Institution iliyonyooka. Usione wamekaa hivyo ukafikiri wanafanya siasa. Hao siku wakitakiwa kuita spade a spade, hawasiti hata kidogo. Utakuja kushangaa. Hasa pale mambo yanapowata kufanya hivyo.
Wanasukumwa nanidhamu na mapenzi ya kweli kwa nchi yetu. Usiwachukulie poa na walishakataa kuingizwa kwenye siasa zetu za maji taka
 
Wanajeshi wetu wana imani kubwa sana na uongozi wa Rais Samia na namna anavyoendesha Taifa letu. Wanaona namna anavyolinda na kuitetea katiba yetu. Wanaona namna Taifa linavyoendelea kupaa kimaendeleo.wanajionea namna ambavyo Rais wetu anaendelea kuriboresha Jeshi letu kwa kulipatia zana nzuri ,za kisasa na bora na mahitaji mengine mbalimbali yanayohitajika ili,ikiwepo maslahi mazuri ya wanajeshi wetu ili wafanye kazi kwa morali na kwa utulivu.
 

Hivi family yako uwa wanajua unaandikaga vitu kama hivi ?
 
Hivi family yako uwa wanajua unaandikaga vitu kama hivi ?
Kwa hiyo umeamua kuhamia kwenye Familia.? Wewe si ndio ulijifanya kunipa sana vitisho humu jukwaani kuwa niache kuandika? Vipi umechoka kutoa vitisho vyako? Au ulifikiria kuwa mimi ni akili ndogo kama uliyonayo wewe? Au ulifikiria Kuwa mimi ni mtu wa kutishiwa na nikatishika?
 
Chawa hata elimu ya uraia huna. Ni amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi, hakuna neno usalama. Mmebaki kusifia sifia huku mkiwa hamna shule.

Cheo cha amiri jeshi ni cha JWTZ na JWTZ ni chombo cha Ulinzi sio usalama.
 

Sijawahi kukutisha na Sina sababu ya kukutisha

Nilikwambia unamuongelea Rais kama unamuongelea bodaboda

Sometimes unatoa mpaka ratiba za Rais as if ww ndio msemaji wake

So nilikwambia Tu kuwa Rais ni Taasisi namba moja Tanzania

Sio kila ukilala ukiamka unakuja na topic ambayo inamhusu Rais wa inchi

Sometimes unaongea mambo ambayo watu wanaongea maneno mabaya juu ya Rais wa inchi kupitia topic zako

Unaweza kuhisi unamjenga au unajijenga kumbe unaharibu na unawapa shida watu kujenga tena

Hope umenielewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…