Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #41
Hata uwape uwanja bure hawawezi kujenga zaidi ya kuuza kiwanja husika ili watafune pesa kama mchwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata uwape uwanja bure hawawezi kujenga zaidi ya kuuza kiwanja husika ili watafune pesa kama mchwa.
Milioni 107 kwa Chama chenye ofisi Tanzania nzima na wafanyakazi, na gharama za mafuta ya magari, mishahara, bili za umeme za hizo ofisi unazoziponda, gharama za usafiri viongozi, unaona ni fedha nyingi zitakidhi mahitaji haya yote na kujenga ofisi kama za CCM? Una akili wewe? Watu hapa Da wanalipwa mshahara zaidi ya milioni 107 kwa mwezi na wanaona hazitoshi, iwe chama cha kitaifa?Billion 2.7. za Ruzuku zimekwenda wapi? Ruzuku ya milioni 107 kila mwezi inakwenda wapi?
Wewe huna akili, ndio maana unachoona hapo ni milioni 107 kwa mwezi, bila kuangalia hizo fedha zitafika wapi kwa Chama kama Chadema, ambacho kimeenea Tanzania nzimaKwa hiyo Ruzuku mnajazia matumbo yenu tu? Pesa za Join the chain zipo wapi?
Mpaka sasa mmepokea Ruzuku ya shilingi ngapi?Wewe huna akili, ndio maana unachoona hapo ni milioni 107 kwa mwezi, bila kuangalia hizo fedha zitafika wapi kwa Chama kama Chadema, ambacho kimeenea Tanzania nzima
Milioni 107 ni hela ndogo sana, ikulu yenu pale Chamwino ni hela ya kulipia umeme tu na isitoshe
Hivyo ni visingizio vya mbaazi tu.
Acheni uvivu wa kutumia akili .hivi hiyo ni ofisi kweli kwa chama chenye wafu wenye utimamu wa akili na mwili? Chama kinachopokea Ruzuku ya mamilioni ya Ruzuku kinaweza kukaa kwenye ofisi kama hiyo kwenye vikao vya kanda? Sasa kama hizo ndio ofisi za kanda vipi huko chini? Hali ipoje?
Mimi naongea ukweli. Sipendagi ujinga na kulea ujinga wa namna hiyo.
Ccm haijawahi kujenga, kupanga wala kununua ofisi ya makao makuu. Kama unabisha sema ofisi gani ya makao makuu ya ccm iliyojengwa kwa pesa za chama.Embu nijibu swali hili dogo.nini kimewafanya mshindwe kujenga ofisi licha ya kupokea mamilioni kwa mamilioni ya Ruzuku kwa miaka mingi?
4RS ZA MAMA ZIMEWAFIKIA CHADEMA IKIWA NI RESILIENCENdugu zangu Watanzania,
Tuseme nini muelewe ya kuwa CHADEMA ni chama cha kitapeli na ubabaishaji? Tuwaonyeshe nini muelewe ya kuwa CHADEMA ni genge la wasaka Tonge na wachumia tumbo? Tuongee na kuzungumza nini muelewe ya kuwa hiki ni chama cha madalali wa kisiasa tu wasio na mipango wala mikakati ya aina yoyote ile ya kugusa Maisha ya watanzania, zaidi ya kusaka madaraka ya ubunge na udiwani kwa ajili ya kushibisha matumbo yao?
Inawezekana vipi ndugu zangu hizi ndio zikawa ofisi za chama na kufanyia vikao vya kanda kwa ajili ya mafunzo ya viongozi wake wapya wa kanda? Kweli chama chenye watu wenye utimamu wa akili na mwili na wanaojitambua wanaweza kukaa kwenye chumba hiki chenye giza na kuita ofisi?
Hivi hii ni ofisi au mgahawa wa uchochoroni au gest bubu au mahali wanapokutania watu wanaopanga matukio ya uhalifu? Hivi chama kinacho pokea Ruzuku ya Milioni 107 kwa mwezi kinaweza kukaa katika ofisi ya namna hii? CHADEMA miezi michache iliyopita walipata Ruzuku ya Billion 2.7. inakuwaje wakae kwenye chumba hiki cha kihuni huni kisicho hata na madirisha ya kueleweka kiasi hiki?
Hivi mnyika aliye katibu Mkuu anajitambua kweli? Haoni aibu? Wameshindwa hata kukodi au hata kuazima ukumbi makanisani wakafanyia kikao chao? Kuliko Aibu hii ya kukaa kwenye chumba cha kihuni ambacho hakina mwanga wa kutosha wala hewa nzuri wala mpangilio wa kueleweka?
Ni vipi watu waliopo humu watakuwa huru kutoa mawazo yao yenye kujenga wakati mazingira yenyewe ni mabaya na ya hovyo kiasi hicho? Wamebanana Utafikiri watu waliosombwa na difenda ya police. Halafu unakuta bila aibu wanabetua midomo yao wanasema eti wanaweza kuongoza Nchi.
Tazama tu nyuso zao walivyojikatia tamaa ,kupoteza matumaini,kujawa na msongo wa mawazo na kuwa hapo walipo kimwili tu lakini kiakili unaona kabisa hawapo hapo kabisa. Kwa hakika CHADEMA ni chama cha hovyo kuwahi kutokea hapa Nchini.
Tufike mahali kama Taifa tukubaliane kuwa ni CCM pekee yenye uwezo wa kuongoza Taifa letu na ni CCM pekee yenye uwezo wa kutoa Rais bora na hakuna sababu ya kufanya uchaguzi wa Urais zaidi ya kumuidhinisha tu yule aliyepitishwa na CCMView attachment 3081557.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hakuna kimo hapo wewe ni zwazwa full stop.Hoja ikikuzidi kimo cha uelewa wako ni bora kukaa kimya tu.
Kwa hiyo mtajenga ofisi mkifikisha Miaka mingapi?Hakuna kimo hapo wewe ni zwazwa full stop.
CCM ina miaka mingapi tangu kuanzishwa??
CHADEMA ina miaka mingapi toka kuanzishwa??
CCM wanaokwapua pesa za umma kwa ajili ya maendeleo ya chama chao.
Tumia akili kufikiri na sio mattyako eboo!!
Kwanini mnakimbia suali langu? Pesa za Ruzuku zinakwenda wapi? Kwanini mnakaa kwenye mabanda yasiyo hata na madirisha mazuri na kusema ndio ofisi?..CCM inapokea BILIONI 13 kwa mwezi mbona huwezi hilo?
Kwanini mnakimbia suali langu? Pesa za Ruzuku zinakwenda wapi? Kwanini mnakaa kwenye mabanda yasiyo hata na madirisha mazuri na kusema ndio ofisi?
Muulize danga lako ambaye ni kada wa CHADEMA.Kwa hiyo mtajenga ofisi mkifikisha Miaka mingapi?
Jibu swali uliloulizwa na siyo porojo zako hapa. Yaani ninyi haya aibu hamuoni kweli?..tuambie Ccm inapokea ruzuku kiasi gani kila mwezi.
Labda kwao inawatoshakuwa kwenye chumba kama hicho kilichokosa hata hewa na kukiita ofisi?
Jibu swali uliloulizwa na siyo porojo zako hapa. Yaani ninyi haya aibu hamuoni kweli?
Ndugu zangu Watanzania,