Tazama katika Picha, Ofisi ya CHADEMA Mkoani Mbeya

Ndugu zangu Watanzania,

Tuseme nini muelewe ya kuwa CHADEMA ni chama cha kitapeli na ubabaishaji? Tuwaonyeshe nini muelewe ya kuwa CHADEMA ni genge la wasaka Tonge na wachumia tumbo? Tuongee na kuzungumza nini muelewe ya kuwa hiki ni chama cha madalali wa kisiasa tu wasio na mipango wala mikakati ya aina yoyote ile ya kugusa Maisha ya watanzania, zaidi ya kusaka madaraka ya ubunge na udiwani kwa ajili ya kushibisha matumbo yao?

Inawezekana vipi ndugu zangu hizi ndio zikawa ofisi za chama na kufanyia vikao vya kanda kwa ajili ya mafunzo ya viongozi wake wapya wa kanda? Kweli chama chenye watu wenye utimamu wa akili na mwili na wanaojitambua wanaweza kukaa kwenye chumba hiki chenye giza na kuita ofisi?

Hivi hii ni ofisi au mgahawa wa uchochoroni au gest bubu au mahali wanapokutania watu wanaopanga matukio ya uhalifu? Hivi chama kinacho pokea Ruzuku ya Milioni 107 kwa mwezi kinaweza kukaa katika ofisi ya namna hii? CHADEMA miezi michache iliyopita walipata Ruzuku ya Billion 2.7. inakuwaje wakae kwenye chumba hiki cha kihuni huni kisicho hata na madirisha ya kueleweka kiasi hiki?

Hivi mnyika aliye katibu Mkuu anajitambua kweli? Haoni aibu? Wameshindwa hata kukodi au hata kuazima ukumbi makanisani wakafanyia kikao chao? Kuliko Aibu hii ya kukaa kwenye chumba cha kihuni ambacho hakina mwanga wa kutosha wala hewa nzuri wala mpangilio wa kueleweka?

Ni vipi watu waliopo humu watakuwa huru kutoa mawazo yao yenye kujenga wakati mazingira yenyewe ni mabaya na ya hovyo kiasi hicho? Wamebanana Utafikiri watu waliosombwa na difenda ya police. Halafu unakuta bila aibu wanabetua midomo yao wanasema eti wanaweza kuongoza Nchi.

Tazama tu nyuso zao walivyojikatia tamaa ,kupoteza matumaini,kujawa na msongo wa mawazo na kuwa hapo walipo kimwili tu lakini kiakili unaona kabisa hawapo hapo kabisa. Kwa hakika CHADEMA ni chama cha hovyo kuwahi kutokea hapa Nchini.

Tufike mahali kama Taifa tukubaliane kuwa ni CCM pekee yenye uwezo wa kuongoza Taifa letu na ni CCM pekee yenye uwezo wa kutoa Rais bora na hakuna sababu ya kufanya uchaguzi wa Urais zaidi ya kumuidhinisha tu yule aliyepitishwa na CCMView attachment 3081557.​

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hivyo vyama vingine vina hata office za Kanda
Hata za mikoa

Ccm wanayo kwa sabubu wana dolaa

Wameridhi majengo ya Tanu ambayo yote hayo yalikuwa ya Serikali
So kaa kwa kutuliaa
 
Mwenezi wa CHADEMA umeupigs mwingi😀
 
Kwann CCM imekaa madarakan miaka mingap?? Na CHADEMA imekaa madarakan miaka mingap?? Tuanzie hapo mtoa hojaa
 
Watu weusi siku zote wapo kwenye upigaji tu. Ila CCM bado ni No 1 kwenye hizo nyanja za upigaji. ni vile tu huwa wanajichotea tu fedha za uma
 
CCM ni chama safi na ndio maana kinaendelea kuaminika na kuungwa mkono na mamilioni ya watanzania.
 
Chawa anasumbuliwa na njaa si uje nikuajiri, usione aibu kuliko kujidhalilisha hivyo humu utafikiri huna mama sasa ulizaliwa na nani kama wewe mama wa wengine ndiyo unadandia au ulianguliwa juu ya mti kama chungwa. Bure kabisa.
 
Anaye aminiwa na wapiga kura hana sababu ya kuiba kura kwa kutumia polisi na tume ya kimangungu.
Hivi lini utakuwa na akili wewe!
Hizi ndio akili ulizojaliwa na Mungu au umejizima data? Hebu kajiangalie kwenye kioo halafu iulize hiyo taswira utakayoiona mbele yako " umepatwa na nini wewe?"
 
Ndugu zangu Watanzania,

Tuseme nini muelewe ya kuwa CHADEMA ni chama cha kitapeli na ubabaishaji? Tuwaonyeshe nini muelewe ya kuwa CHADEMA ni genge la wasaka Tonge na wachumia tumbo? Tuongee na kuzungumza nini muelewe ya kuwa hiki ni chama cha madalali wa kisiasa tu wasio na mipango wala mikakati ya aina yoyote ile ya kugusa Maisha ya watanzania, zaidi ya kusaka madaraka ya ubunge na udiwani kwa ajili ya kushibisha matumbo yao?

Inawezekana vipi ndugu zangu hizi ndio zikawa ofisi za chama na kufanyia vikao vya kanda kwa ajili ya mafunzo ya viongozi wake wapya wa kanda? Kweli chama chenye watu wenye utimamu wa akili na mwili na wanaojitambua wanaweza kukaa kwenye chumba hiki chenye giza na kuita ofisi?

Hivi hii ni ofisi au mgahawa wa uchochoroni au gest bubu au mahali wanapokutania watu wanaopanga matukio ya uhalifu? Hivi chama kinacho pokea Ruzuku ya Milioni 107 kwa mwezi kinaweza kukaa katika ofisi ya namna hii? CHADEMA miezi michache iliyopita walipata Ruzuku ya Billion 2.7. inakuwaje wakae kwenye chumba hiki cha kihuni huni kisicho hata na madirisha ya kueleweka kiasi hiki?

Hivi mnyika aliye katibu Mkuu anajitambua kweli? Haoni aibu? Wameshindwa hata kukodi au hata kuazima ukumbi makanisani wakafanyia kikao chao? Kuliko Aibu hii ya kukaa kwenye chumba cha kihuni ambacho hakina mwanga wa kutosha wala hewa nzuri wala mpangilio wa kueleweka?

Ni vipi watu waliopo humu watakuwa huru kutoa mawazo yao yenye kujenga wakati mazingira yenyewe ni mabaya na ya hovyo kiasi hicho? Wamebanana Utafikiri watu waliosombwa na difenda ya police. Halafu unakuta bila aibu wanabetua midomo yao wanasema eti wanaweza kuongoza Nchi.

Tazama tu nyuso zao walivyojikatia tamaa ,kupoteza matumaini,kujawa na msongo wa mawazo na kuwa hapo walipo kimwili tu lakini kiakili unaona kabisa hawapo hapo kabisa. Kwa hakika CHADEMA ni chama cha hovyo kuwahi kutokea hapa Nchini.

Tufike mahali kama Taifa tukubaliane kuwa ni CCM pekee yenye uwezo wa kuongoza Taifa letu na ni CCM pekee yenye uwezo wa kutoa Rais bora na hakuna sababu ya kufanya uchaguzi wa Urais zaidi ya kumuidhinisha tu yule aliyepitishwa na CCMView attachment 3081557.​

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Tapeli ni mapaja ya mama yako
 
CCM ni chama safi na ndio maana kinaendelea kuaminika na kuungwa mkono na mamilioni ya watanzania.
CCM ingeaminika msingeiba kura 2020 na 2019.
Na hata Sasa CCM Ina hofu haki ikitendeka itakosa zaidi ya Mahimbo 200.
Kaulize watu masokoni, kwenye daladala, makazini hata madhuleni utaona CCM ilivyoporomoka.
Kwanini mlimpiga Sugu juzi hapo mbeya Kama sio hofu, kwanini mlikataza vijana wasikutane Kama sio hofu.
 
Chawa anasumbuliwa na njaa si uje nikuajiri, usione aibu kuliko kujidhalilisha hivyo humu utafikiri huna mama sasa ulizaliwa na nani kama wewe mama wa wengine ndiyo unadandia au ulianguliwa juu ya mti kama chungwa. Bure kabisa.
Acha kupaniki
 
Back
Top Bottom