Tazama katika Picha, Ofisi ya CHADEMA Mkoani Mbeya

Billion 2.7. za Ruzuku zimekwenda wapi? Ruzuku ya milioni 107 kila mwezi inakwenda wapi?
Milioni 107 kwa Chama chenye ofisi Tanzania nzima na wafanyakazi, na gharama za mafuta ya magari, mishahara, bili za umeme za hizo ofisi unazoziponda, gharama za usafiri viongozi, unaona ni fedha nyingi zitakidhi mahitaji haya yote na kujenga ofisi kama za CCM? Una akili wewe? Watu hapa Da wanalipwa mshahara zaidi ya milioni 107 kwa mwezi na wanaona hazitoshi, iwe chama cha kitaifa?
 
Kwa hiyo Ruzuku mnajazia matumbo yenu tu? Pesa za Join the chain zipo wapi?
Wewe huna akili, ndio maana unachoona hapo ni milioni 107 kwa mwezi, bila kuangalia hizo fedha zitafika wapi kwa Chama kama Chadema, ambacho kimeenea Tanzania nzima

Milioni 107 ni hela ndogo sana, ikulu yenu pale Chamwino ni hela ya kulipia umeme tu na isitoshe
 
Mpaka sasa mmepokea Ruzuku ya shilingi ngapi?
 

..CCM inapokea BILIONI 13 kwa mwezi mbona huwezi hilo?
 
Embu nijibu swali hili dogo.nini kimewafanya mshindwe kujenga ofisi licha ya kupokea mamilioni kwa mamilioni ya Ruzuku kwa miaka mingi?
Ccm haijawahi kujenga, kupanga wala kununua ofisi ya makao makuu. Kama unabisha sema ofisi gani ya makao makuu ya ccm iliyojengwa kwa pesa za chama.
 
4RS ZA MAMA ZIMEWAFIKIA CHADEMA IKIWA NI RESILIENCE
 
Hoja ikikuzidi kimo cha uelewa wako ni bora kukaa kimya tu.
Hakuna kimo hapo wewe ni zwazwa full stop.
CCM ina miaka mingapi tangu kuanzishwa??
CHADEMA ina miaka mingapi toka kuanzishwa??
CCM wanaokwapua pesa za umma kwa ajili ya maendeleo ya chama chao.
Tumia akili kufikiri na sio mattyako eboo!!
 
Hakuna kimo hapo wewe ni zwazwa full stop.
CCM ina miaka mingapi tangu kuanzishwa??
CHADEMA ina miaka mingapi toka kuanzishwa??
CCM wanaokwapua pesa za umma kwa ajili ya maendeleo ya chama chao.
Tumia akili kufikiri na sio mattyako eboo!!
Kwa hiyo mtajenga ofisi mkifikisha Miaka mingapi?
 
..CCM inapokea BILIONI 13 kwa mwezi mbona huwezi hilo?
Kwanini mnakimbia suali langu? Pesa za Ruzuku zinakwenda wapi? Kwanini mnakaa kwenye mabanda yasiyo hata na madirisha mazuri na kusema ndio ofisi?
 

Umewahi kuona picha za office za Tanu? Au TAA?

Zilikuwa kama hizo

Ila after miaka flan Wana office Iko pale Lumumba Road inaitwa Makao makuu ya CCM
 
Chama kinajengwa mioyoni mwa watu, kipaumbele ni kumng'oa mkoloni mbogamboga ili mtanganyika apate uhuru na siyo majengo ya chama.
Kijana kama wewe ni hasara kwa taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…