Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #21
Naona mnaanza kuweweseka baada ya kuona upepo mkali unaendelea kuvuma na kuteka mioyo ya mamilioni ya watanzania.Wamesombwa kama magunia ya viazi kutoka Uyole!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona mnaanza kuweweseka baada ya kuona upepo mkali unaendelea kuvuma na kuteka mioyo ya mamilioni ya watanzania.Wamesombwa kama magunia ya viazi kutoka Uyole!
Kufa tu ndugu yangu maana naona umekaa kibarazani kupiga umbeya ukisubiri uleteewe kila kitu ulipokaa hapohapo.hatufi ila cha moto tunaendelea kukiona
utaanza kufa wewe mkuu,, naona hadi povu la kingo za mdomo linavokumiminika,,kunywa maji then relaaaaxKufa tu ndugu yangu maana naona umekaa kibarazani kupiga umbeya ukisubiri uleteewe kila kitu ulipokaa hapohapo.
Kazi ni kipimo cha utu.
Endelea kubwabwaja tu kama hayawani. Mama anapendwa na kukubalika ndio maana anapata mapokezi mazito na makubwa,.ambapo watu wanahudhuria kwa hiyari yao wenyeweWatu wamesombwa kwa malori tangia alfajiri wameahidiwa pilau, buku tano tano na usafiri wa kuwarudisha wataachaje kujaa ?
Kufa tu ndugu yangu na wala hakuna atakayesikitika maana huna faida yoyote ileutaanza kufa wewe mkuu,, naona hadi povu la kingo za mdomo linavokumiminika,,kunywa maji then relaaaax
Gairo Morogoro.Gailo Ipo Mkoa gan?
Au Unamaanisha Gairo, Morogoro ya Cairo, Misri?
nife ili mh akose wa kumpigia kura,,nawewe utaongezewa cheo utakua chawa pro max,,mimi mpiga kura jitahid unibembeleze bwanKufa tu ndugu yangu na wala hakuna atakayesikitika maana huna faida yoyote ile
Wananchi wana furaha sana na Rais Samia na wanampendaa sana kwasababu wameona namna hali ya kiuchumi ilivyo nzuri na yenye kutia matumaini wakati huu wa uongozi
Usiwalazimishe kuwa na furaha,Sura zao zinaonyesha kukata tamaa kabisa.Wananchi wana furaha sana na Rais Samia na wanampendaa sana kwasababu wameona namna hali ya kiuchumi ilivyo nzuri na yenye kutia matumaini wakati huu wa uongozi wake.
mbona hawaja bubujikwa na machozi? Watakuwa hawampendi
Hayawani ni wewe unayejidhalilisha kwa huu uchwara unaojaza humu, naona deiwaka ya daftari la wapiga kura imekwisha umerudi kwenye ujinga wako tena. ephen_Endelea kubwabwaja tu kama hayawani. Mama anapendwa na kukubalika ndio maana anapata mapokezi mazito na makubwa,.ambapo watu wanahudhuria kwa hiyari yao wenyewe
CCM ni wajinga sn wanapenda maigizo na siyo uhalisiaWengine wamesombwa na malori, wakidaiwa kuwa eti ni wahamasishaji toka Morogoro mjini!
Siyo maneno yangu, hata Mama mwenyewe aliuliza wanyooshe mikono, waliokuja toka Morogoro mjini!😅
Huyu shetani eti anasubiri uteuzi nayeHayawani ni wewe unayejidhalilisha kwa huu uchwara unaojaza humu, naona deiwaka ya daftari la wapiga kura imekwisha umerudi kwenye ujinga wako tena. ephen_
Huna akili shetani mkubwa, watoto wanasoma bure na wakati tunalipa kodi zinajenga madarasa zinalipa mishahara walimu n.k, UWT acheni ujinga wenu, si achenge shule zake asomeshe bure kwa pesa ake na aache kuiba pesa za umma ajihuzulu.Labda wewe ndio mtoto wa shule.Mikutano ya Rais Samia unajaza watu wa kila aina ambao hufurika kwa wingi kama mchanga wa baharini kwenda kumlaki mama yetu kipenzi. Hata wanafunzi huenda kwa wingi maana wanajuwa kuwa mama yao Daktari Samia ndio anawafanya wanasoka bure bila shida yoyote ile.
Hataufanyigi usanii wa mzee Mbowe na genge lake aiseeWatoto wa shule wamesombwa kwa kulazimishwa
Mjinga mkubwa, kwamba wakati mnawasomba watu na malori tunakuwa tumelala?Hataufanyigi usanii wa mzee Mbowe na genge lake aisee