Tazama katika picha watu walivyomiminika na kufurika kwa wingi katika Kumpokea Rais Samia Gairo Mkoani Morogoro

NA KAZI IENDELEEE
 
Aisee wewe ni mtu wa ajabu sana!Wewe ni kusifia tuu!
 
Leo kwa hakika mtalala na viatu maana hamuamini kwa mnachokiona namna ambavyo watu wanamiminika na kufurika katika mikutano ya Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan
 
Mmetoa offer kwa wafanyakazi watege kazi waje kushadadia Reli. Sina uhakika na wanafunzi wa Vyuo na wa Sec kama wamepona kusombwa kwa maroli.
 
Sio kwamba hawana ajira!
 
Si ndio huko kuna watu wamelalamika wametelekezwa walitolewa na malori porini huko malori yameingia mitini
 
Mmetoa offer kwa wafanyakazi watege kazi waje kushadadia Reli. Sina uhakika na wanafunzi wa Vyuo na wa Sec kama wamepona kusombwa kwa maroli.
Wivu umewashika sana kwa mapokezi haya ya Mheshimiwa Rais
 
Sio kwamba hawana ajira!
Rais Samia ameendelea kutoa maelfu kwa maelfu ya ajira kwa vijana katika sekta mbalimbali.ndio maana unaona watu wakimiminika katika mikutano yao huku nyuso zao zikiwa zimejaa tabasamu na matumaini makubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…