Tazama kionjo (trailer) cha filamu ya The Royal Tour aliyoshiriki Rais Samia

Afadhali imekamilika, sasa tutaondolewa tozo kwenye miamala ya simu, benki na umeme. Pia tutapunguziwa gharama za kodi kwenye mafuta ili mafuta ya petroli, dizeli,na ya kula nakadhalika vitashuka bei. Ndiyo, kwa sababu filamu hii itaingizia Tanziania mapato lukuki kiasi cha kumaliza deni la taifa.

Asante sana.
 
Ni kweli kwani yeye alijiandaa kuwa rais yeye alikuwa makamu wa rais
Katiba yetu inasema wazi kuwa Rais akifa makamu wa Rais atakuwa Rais.

Rais ni binadamu kama binadamu wengine na muda wowote ule anaweza kufa kwa magonjwa,ajali,kuuawa na kadhalika kwa hiyo makamu wa Rais anatakiwa kujiandaa kuwa Rais at any time.

Moja ya jukumu la msingi kabisa la makamu wa Rais ni kujiandaa kuwa Rais kwa sababu Rais siyo Mungu na anaweza kufa muda wowote ule.

Samia hakujiandaa kuwa Rais kwa sababu hakujua majukumu yake kama makamu wa Rais.

Mtu ambae hakujua majukumu yake kama makamu wa Rais hawezi kujua majukumu yake kama Rais kwa hiyo hafai kuwa Rais.

Samia kwa kushindwa kujua majukumu yake kama makamu wa Rais amethibitisha mwenyewe kuwa hafai kuwa Rais.
 
Kwenye guides hapo umenena,
Guides wa tips changamoto
 
Wangetutengenezea moja nyingine ya vita ya Uganda, najua ukiweka dau mezani Hollywood wankutolea kitu kikali sana
 
Akili kubwa kivipi?
Huyo Peter Greenberg ameshafanya hizo royal tour nchi kibao Kama Israel, Poland, Mexico, Ecuador mpaka Rwanda pimbi wewe. Hiyo akili kubwa ya Mama hasani iko wapi hapo?

Alafu stealing ni nini? Au wewe ndo yule uliesema terrorism ni mambo ya utalii
 
KATIBA MPYA, TUME HURU YA UCHAGUZI, MBOWE SIYO GAIDI,


Tanzania Royal Tour Baadae.....πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ€£πŸ€£πŸ˜πŸ˜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…