Tazama midege ya Israeli ilivyopaa na kurudi salama bila kumwamsha Ayatola

Tazama midege ya Israeli ilivyopaa na kurudi salama bila kumwamsha Ayatola

Oparesheni iliyopewa jina la "amsha Simba" imekuwa gumzo duniani kote jinsi ilivyotekelezwa kwa ufundi wa Hali ya juu huku ikiepusha vifo vingi vya raia

Ayatollah kabaki mdomo wazi na midoli yake aliyopewa na Mrusi.

View attachment 3366822
Mbn unatupiga mchana kweupe ndege zilizoshambulia Iran ni zisizo na rubani Drones..hizi ni za lini?
 
zina marubabni au ni autopilot
Hamna zina marubani tena wengi wanawake

Jeshi la IDF kwenye operation za vita kimataifa middle East marubani ndege vita huendeshwa asilimia kubwa na wanawake kuwapa uzoefu vita za kimataifa kuwapa uzoefu in case kuna vita mbali sana na Israel mabara mengine in case ikitokea vita wachokoza Israel wawe na uzoefu

Iran katwangwa na ndege vita za Israel endeshwa na na wanawake wa jeshi la IDF la Israel
 
Kwa ni mnataja sana wanawake? Ni ajabu mwanamke kuwa rubani?
 
LAKINI SASA
Zina marubani si unaona huyo mmoja anajifungia katika chumba cha rubani
HAWA WATU WATAISHI HIVI MPAKA LINI? WHAT FOLLOWS NEXT BAADA YA ISRAEL KUWASHAMBULIA IRAN? WATANYAMAZA? RETALIATION?
 
LAKINI SASA

HAWA WATU WATAISHI HIVI MPAKA LINI? WHAT FOLLOWS NEXT BAADA YA ISRAEL KUWASHAMBULIA IRAN? WATANYAMAZA? RETALIATION?
Israel hufanya amani na atakaye

Na hupigana vita na adui.
Ndio imekuwa slogan yao toka warud uhamishoni
 
Back
Top Bottom