mswaki mbuyu
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 1,018
- 591
Kufurahi ndo nini sasa weeh mshamba..Mkuu pole Kwa maumivu. Haya basi hazina rubani umefurahi?
Kufurahi ndo nini sasa weeh mshamba..Mkuu pole Kwa maumivu. Haya basi hazina rubani umefurahi?
Praise to jesusOparesheni iliyopewa jina la "amsha Simba" imekuwa gumzo duniani kote jinsi ilivyotekelezwa kwa ufundi wa Hali ya juu huku ikiepusha vifo vingi vya raia
Ayatollah kabaki mdomo wazi na midoli yake aliyopewa na Mrusi.
View attachment 3366822
LAKINI SASA
HAWA WATU WATAISHI HIVI MPAKA LINI? WHAT FOLLOWS NEXT BAADA YA ISRAEL KUWASHAMBULIA IRAN? WATANYAMAZA? RETALIATION?
Mwanamke kuendesha ndege. Lakini kupigwa na mwanamke ndio ajabu. Ukizingatia iran na yeye ana ndege pia na S.500 za mrusiKwa ni mnataja sana wanawake? Ni ajabu mwanamke kuwa rubani?