Tazama picha hii kwa umakini halafu useme waziri Nape amemaanisha nini?

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
28,722
Reaction score
20,610
Ndugu zangu Watanzania,

Katika ukurasa wake wa Mtandao wa X, waziri wa habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mheshimiwa Nape Moses Nnauye ameweka picha hii. Sasa ningependa kuwauliza wana jukwaa mnafikiri Mheshimiwa waziri alitaka kutoa ujumbe gani na ujumbe huo unamhusu na kumlenga nani?

Screenshot_20240704-074115_1.jpg

Kazi iendelee, Mama ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama anatosha kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Katika ukurasa wake wa Twitter, waziri wa habari, Mawasiliano na teknolojia ya Habari Mheshimiwa Nape Moses Nnauye Ameweka picha hii. Sasa ningependa kuwauliza wana jukwaa mnafikiri Mheshimiwa waziri alitaka kutoa ujumbe gani na ujumbe huo unamhusu na kumlenga nani?View attachment 3033030

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Msigwa huyo🤣🤣🤣
 
Kama ulikiwa hufahamu basi maana yake ni hii hapa; Chama chako cha Mapinduzi chini ya Mwenyekiti wako, wameanza kuyakwapua majoka yenye sumu kali kutoka upinzani.

Na mbaya zaidi wanayakwapua kwa kushikilia mkiani! Sasa siku yakigeuka na kuwauma, maana na ccm nayo itajifia kifo kibaya sana cha kugongwa na hayo majoka yenye sumu kali.

Na katika hili, binafsi naombea litokee mpema ili nchi ipate maendeleo ya kweli.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Katika ukurasa wake wa Twitter, waziri wa habari, Mawasiliano na teknolojia ya Habari Mheshimiwa Nape Moses Nnauye Ameweka picha hii. Sasa ningependa kuwauliza wana jukwaa mnafikiri Mheshimiwa waziri alitaka kutoa ujumbe gani na ujumbe huo unamhusu na kumlenga nani?View attachment 3033030

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Amemaanisha hivi
 
Attachments

  • 20240628_151336.jpg
    20240628_151336.jpg
    129.5 KB · Views: 7
Ndugu zangu Watanzania,

Katika ukurasa wake wa Twitter, waziri wa habari, Mawasiliano na teknolojia ya Habari Mheshimiwa Nape Moses Nnauye Ameweka picha hii. Sasa ningependa kuwauliza wana jukwaa mnafikiri Mheshimiwa waziri alitaka kutoa ujumbe gani na ujumbe huo unamhusu na kumlenga nani?View attachment 3033030

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Nahisi huyo aliyejikunja miguuni ni Mnyalu mmoja anayedhani amenyakuliwa kwenda mbinguni kula raha ya milele
 
Back
Top Bottom