Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Ndugu zangu Watanzania,
Katika picha hii unaweza kujua na kupata Picha Namna gani Lissu anachukuliwa na kiwango cha thamani na heshima yake ndani ya CHADEMA.
Hapa unaweza kuona na kutambua wazi kuwa Lissu Tangia Awali na zamani alikuwa haheshimiki wala kuthaminiwa wala kukubalika wala kwa wenzake..
Hivi unaweza vipi mpandisha Makamu Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani kwenye kichanja kama hiki utafikiri mahali pa kupumzikia Kuku au Mabata?
Sasa hapa ingekuwaje kama angevunja Miguu? Vipi kama angedondoka na kutegua kiuno au Mgongo? Vipi kama angeteleza na kung'oa Meno?
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.