Tazama picha hii ya Lissu upate kujua anachukuliwaje ndani ya CHADEMA

Kwa ruzuku na bakuli wanalopitisha hadi vyama vya mashoga hiyo stage haifai, wanasiasa wote hovyo sio kijani sio marangirangi
 
Unajua hapi ni wapi? Mazingira ya vijiji na hali ya kifedha yako sawa?
 
Harafu huyo bwana njaa Kali ndio anataka Kuongoza chama.

Sasa Kwa taarifa Yao tuu Lisu akiwa Mwenyekiti Chadema itapoteana na ndugu Lisu atarudi Kwa Mumewe Amsterdam huko Ubeberuni.
 

Ningekuwa mimi Lissu nisingepanda hapo juu. Maana angeanguka ingekuwa hasara kwake binafsi.
 
Ndiyo ujue kuwa Lissu ni mfia chama anafanya kazi katika mazingira magumu huku Mbowe na genge lake wakitumbua mabilioni ya ruzuku. Hapo kwa akili yako kisoda unaona umemdhalilisha lakini ndiyo unamjenga kuwa ni mtu ambaye anakitumikia chama katika mazingira magumu.
 
Mashine zote za majitaka za CCM mmesimama na Mbowe.

Subirini kabla hakujakucha kitasikika kilio cha anguko kutoka Kizimkazi
 
Mashine zote za majitaka za CCM mmesimama na Mbowe.

Subirini kabla hakujakucha kitasikika kilio cha anguko kutoka Kizimkazi
Lissu tayari amekubali kushindwa na ndio maana ameanza kutoa kauli za kutapatapa.
 
Hii yote ni kwa sababu ya umasikini wa nchi inayoongozwa na chama chako na umasikini wa fikra za wananchi ambao wanaongozwa na chama chako tangu uhuru...

Waliojenga hapo ni Watanzania ambao wangeweza kuwa wabunifu na kuwa na utaalamu wa kujenga kitu bora...

 
Acha visingizio vya kijinga
 
Itakuwa mbozi hapo!
 
tuondolee njaa zako za matyako wazi hapa kutwa kulamba matyako ya wenzio bila faida mbuzi pori wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…