CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Huyo ameshajizoelea kunywa uji wa chumvi na maparachichi ndiyo maana hana habari ya sukariMbozi mnanua sukari shillingi ngapi kwa kilo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo ameshajizoelea kunywa uji wa chumvi na maparachichi ndiyo maana hana habari ya sukariMbozi mnanua sukari shillingi ngapi kwa kilo?
Anakunywa uharo kabisa mpayapaya mwenye tabia za kimalayamalaya mlamba miguu alielaanika na kuutia najisi ukoo wa MwashambwaHuyo ameshajizoelea kunywa uji wa chumvi na maparachichi ndiyo maana hana habari ya sukari
Braza unapatikana Mbozi sehemu gani?Ndugu zangu Watanzania,
Sina maneno mengi,lakini nilitaka tu utoe mawazo na mtizamo wako juu ya ujumbe aliotaka kutoa muandishi wa katuni hii.
Ambayo inamuonyesha Mheshimiwa Luhaga Mpina amebebwa mgongoni.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3019863
Ndugu zangu Watanzania,

Asante kwa mtizamo wako.Kiwanda cha sukari kilimbeba Mpina kwa kumpa ushirikiano ktk kutafuta ushahidi.
Unatafuta nn ss, kuunga mkono juhudi?Mimi sitafuti uteuzi hapa jukwaani ndugu yangu mtanzania
Hivi mtu anayesifu mpaka harufu ya kinyesi (mavi) ya viongozi wa CCM wenye hela chafu, za damu, wafiraji na wasagaji huyo mtu (wewe Lucas Mwashambwa) unadhani anakuwa anatafuta nini eti?Mimi sitafuti uteuzi hapa jukwaani ndugu yangu mtanzania
Ngese kwel weweWaambie hao wananchi kuwa Taifa letu linaongozwa na mzalendo wa kweli na dhati Mheshimiwa Rais Samia .hivyo wasiwe na wasiwasi.
Yuko tayariHivi mtu anayesifu mpaka harufu ya kinyesi (mavi) ya viongozi wa CCM wenye hela chafu, za damu, wafiraji na wasagaji huyo mtu (wewe Lucas Mwashambwa) unadhani anakuwa anatafuta nini eti?
Usijidanganye wewe. Hutapata chochote kama ambavyo mzee Pascal Mayalla amehangaika miaka yote hii hadi amezeeka sasa
Nakushauri uimarishe shughuli yako yoyote unayofanya sasa kukupa ugali wako na wa watoto wako maana hii njia unayotumia kudhania utatajirika haraka, hataweza kukupa chochote kwa kuwa unaishi ktk laana ya unafiki na uongo!
Unless otherwise ukubali kufumuliwa marinda yako😩😩😩
Saa mbovu @ workKiufupi haihitaji elimu ya chekechea kujua bashe amakwiba na ameudanganya umma wa watanzania sio bunge pekee hizi nyingine ni mazungumzo baada ya habari machozi yawabubujika wananchi kwa uchungu baada ya kusikia bashe ni mwongo!
Huwezi kutofautisha picha na mchoro?Ndugu zangu Watanzania,
Sina maneno mengi,lakini nilitaka tu utoe mawazo na mtizamo wako juu ya ujumbe aliotaka kutoa muandishi wa katuni hii.
Ambayo inamuonyesha Mheshimiwa Luhaga Mpina amebebwa mgongoni.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3019863
Spika nae ni sehemu ya unyang'anyi anaetabasam na kuwapumbaza wadanganyikaUjumbe ni kuwa Spika anambeba Bashe kwenye sakata la sukari.