Tazama picha hii Ya Luhaga Mpina kwa umakini halafu uniambie muandishi alitaka kutoa ujumbe gani?

Ndugu zangu Watanzania,

Sina maneno mengi,lakini nilitaka tu utoe mawazo na mtizamo wako juu ya ujumbe aliotaka kutoa muandishi wa katuni hii.

Ambayo inamuonyesha Mheshimiwa Luhaga Mpina amebebwa mgongoni.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3019863
Braza unapatikana Mbozi sehemu gani?

Momba, Tunduma, Mbozi, Sumbawanga kifupi mkoa wa Songwe, Mbeya, Iringa, Rukwa kotee huku ni mitaa yangu ya kutafutia riziki.!!!

#YNWA
 
Ndugu zangu Watanzania,

Sina maneno mengi,lakini nilitaka tu utoe mawazo na mtizamo wako juu ya ujumbe aliotaka kutoa muandishi wa katuni hii.

Ambayo inamuonyesha Mheshimiwa Luhaga Mpina amebebwa mgongoni.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3019863

Chini ya Samia Tanzania ya viwanda imeota mbawa ?

Yani gap sugar ya 6% inataka mbadilishe sheria?
 
Mimi sitafuti uteuzi hapa jukwaani ndugu yangu mtanzania
Hivi mtu anayesifu mpaka harufu ya kinyesi (mavi) ya viongozi wa CCM wenye hela chafu, za damu, wafiraji na wasagaji huyo mtu (wewe Lucas Mwashambwa) unadhani anakuwa anatafuta nini eti?

Usijidanganye wewe. Hutapata chochote kama ambavyo mzee Pascal Mayalla amehangaika miaka yote hii hadi amezeeka sasa

Nakushauri uimarishe shughuli yako yoyote unayofanya sasa kukupa ugali wako na wa watoto wako maana hii njia unayotumia kudhania utatajirika haraka, hataweza kukupa chochote kwa kuwa unaishi ktk laana ya unafiki na uongo!

Unless otherwise ukubali kufumuliwa marinda yako😩😩😩
 
Hao mawaziri wamepiga hilo lipo wazi.

Sasa mtu kuwa muungwana ukajiuzulu nalo mpaka tushikane mashati bwana.
 
Hivi mtu anayesifu mpaka harufu ya kinyesi (mavi) ya viongozi wa CCM wenye hela chafu, za damu, wafiraji na wasagaji huyo mtu (wewe Lucas Mwashambwa) unadhani anakuwa anatafuta nini eti?

Usijidanganye wewe. Hutapata chochote kama ambavyo mzee Pascal Mayalla amehangaika miaka yote hii hadi amezeeka sasa

Nakushauri uimarishe shughuli yako yoyote unayofanya sasa kukupa ugali wako na wa watoto wako maana hii njia unayotumia kudhania utatajirika haraka, hataweza kukupa chochote kwa kuwa unaishi ktk laana ya unafiki na uongo!

Unless otherwise ukubali kufumuliwa marinda yako😩😩😩
Yuko tayari
 
Saa mbovu
Kiufupi haihitaji elimu ya chekechea kujua bashe amakwiba na ameudanganya umma wa watanzania sio bunge pekee hizi nyingine ni mazungumzo baada ya habari machozi yawabubujika wananchi kwa uchungu baada ya kusikia bashe ni mwongo!
Saa mbovu @ work
 
Ndugu zangu Watanzania,

Sina maneno mengi,lakini nilitaka tu utoe mawazo na mtizamo wako juu ya ujumbe aliotaka kutoa muandishi wa katuni hii.

Ambayo inamuonyesha Mheshimiwa Luhaga Mpina amebebwa mgongoni.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3019863
Huwezi kutofautisha picha na mchoro?
 
Back
Top Bottom