Tazama picha ya gari lililotengenezwa na wanafunzi wa UDSM

Tazama picha ya gari lililotengenezwa na wanafunzi wa UDSM

Notorious thug

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2021
Posts
2,817
Reaction score
10,667
Samaleko!

Hii ni picha ya gari lililotegenezwa na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha UDSM. Vipi maoni yako kuhusu huu ubunifu tutawafikia Wachina, Wajapani na German huko mbeleni au tuendelee na huu ubunifu uliojaa utundu.

20230417_103130.jpg
FtrKWZfXoAIUxS6.jpg
 
Samaleko! Hili ni picha ya gari iliyotegenezwa na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha UDSM. Vipi maoni yako kuhusu huu ubunifu tutawafikia Wachina,Wajapani na German huko mbeleni au tuendelee na huu ubunifu uliojaa utundu.View attachment 2590712

Swali muhimu kabisa ni: je wameweza kuunda engine yake from the scratch ??

Nauliza swali hilo kwani gari hasa ni Engine, ukiweza kuunda Engine basi vyote vilivyobakia ni mtelemko tu, kuunda Engine ndio elimu ya ma-engineers.
 
Nadhani kama nchi tungewekeza zaidi kwenye vijana wa IT, kilimo na ufugaji. Haya mambo ya kutengeneza magari tumeshachelewa sana. Hilo gari hata kama linaweza tembea HALINUNULIKI. Hapo naona faida itakayopatikana ni kijana kujulikana na kupata ajira kwenye viwanda vinavyohusika na alichosomea lakini pia itategemea na GPA yake. Ifike sehemu tujiambie tu ukweli
 
Thubutui!!! Viti tu venyewe inaonekana ni vya toyota, yaani hata fundi cherehani tu bado imeshindikana kundesign seats from scratch
Taa za parking na indicator kama ni za land rover, bado sana!!
 
Daah kuna shida sana hao wanafunzi na supervisor wao bado wana mawazo ya kijamaaa " BIG MISTAKE". ingekuwa enzi za mwalimu io gari ndo ingekomaliwa watanzania watumie- komba angeimbia hadi nyimbo. Alafu bungeni wabunge uchwala wangetunga sheria hamna magari ya mtumba kuingia bongo ili watanzania wanunue io gari pekee, sababu wangekuambia kulinda kiwanda chetu cha gari.

Sasa kweli kipindi hiki kulivyo na ushindani mkali wa kiutandawazi, mwanafunzi anatengeneza gari yenye body hioo... Watu saa hivi wanapress body cover kwa hydraulic fluid. Hivi hao wanafunzi kuchagua .... Niishie hapa
 
Nadhani kama nchi tungewekeza zaidi kwenye vijana wa IT, kilimo na ufugaji. Haya mambo ya kutengeneza magari tumeshachelewa sana. Hilo gari hata kama linaweza tembea HALINUNULIKI. Hapo naona faida itakayopatikana ni kijana kujulikana na kupata ajira kwenye viwanda vinavyohusika na alichosomea lakini pia itategemea na GPA yake. Ifike sehemu tujiambie tu ukweli
IT ina speed ya light. Bora hayo machuma chuma
 
Mzee Kapalata wa sido vingunguti kaanza kutengeneza gari kama hili miaka kumi iliyopita.

Saba saba lilikuwa kinakuwepo kwenye maonesho na sido lipo.

Huyo mzee kapalata hata elimu ya shule ya msingi hajawai kusoma. Ila ametengeneza gari kama hilo kitambo sana.

Udsm wanafanya leo huku watu ambao hawajaenda shule wamefanya miaka 10 iliyopita.

Pia wahandisi wa udsm wamesahau kuweka wipers zile za mvua pia wamesahau kuweka seat belts.

Na inawezekana gari la mzee kapalata kawauzia hao wanafunzi wa udsm ili nao wauze sura
 
Attachments

  • Screenshot_20230417-105851_Firefox.jpg
    Screenshot_20230417-105851_Firefox.jpg
    238.5 KB · Views: 17
Back
Top Bottom