Tazama picha ya gari lililotengenezwa na wanafunzi wa UDSM

Tazama picha ya gari lililotengenezwa na wanafunzi wa UDSM

Ni aibu Sana tunashindwa hata kuunda mabody tu ya mabus, daladala na kuingia gharama kubwa Sana kununua daladala japan na mabus toka China.
Hatuna wabunifu wa kuunda mabody nchini.
Wenzetu Asia ya Kati na chini wanaunda mabus yao quality tena chini ya muembe
 
Nimesoma comments humu asilimia kubwa nadhani akili hazimo

Mleta mada hajotoa sifa za hiyo gari ikoje

Watu tayari.wameanza kukosoa bila kuwa na specification za gari

Cha kwanza kwa mwenye akili alitakiwa aombe specification zake kwanza ndio ajadili

Asante mleta mada umetusaidia kujua wajinga waliomo humu jamii forums Kwa.kupitia tu hiyo picha ya gari uliyorusha
 
Loo mkuu, hivyo viwanda ni technologically advanced kiasi kwamba sio rahisi mtu aende kujifunza huko na apate matokeo mazuri, labda waende kujifunza Nigeria au Ghana ambao nao wamepiga hatua katika kuunda magari locally kwa muda sasa wao nadhani technology zao sio advanced sana kama huko Ulaya na Japan.
Ok boss. Ila Tatizo la kuunda magari kwa mtindo huu ni kwamba unatengeneza kitu ambacho hakina demand. Unatengeneza ili tu uonekane umetengeneza ila hakuna soko.
 
Nimesoma comments humu asilimia kubwa nadhani akili hazimo

Mleta mada hajotoa sifa za hiyo gari ikoje

Watu tayari.wameanza kukosoa bila kuwa na specification za gari

Cha kwanza kwa mwenye akili alitakiwa aombe specification zake kwanza ndio ajadili

Asante mleta mada umetusaidia kujua wajinga waliomo humu jamii forums Kwa.kupitia tu hiyo picha ya gari uliyorusha

Wewe ndiye mjinga, kwani specification ya gari ndio inahusikanaje na Workmanship yake ??

Wengi hapa tumejadili Workmanship and designing (the art of manufacturing ya hilo gari) ambacho ndicho kitu cha msingi sana kuliko hizo Specifications zako.

Hata hiyo gari iwe na uwezo wa kubeba tani 2000, sisi tunataka kujua, je ni purely designed and manufactured by our Engineers au sio cloning??
 
Nimesoma comments humu asilimia kubwa nadhani akili hazimo

Mleta mada hajotoa sifa za hiyo gari ikoje

Watu tayari.wameanza kukosoa bila kuwa na specification za gari

Cha kwanza kwa mwenye akili alitakiwa aombe specification zake kwanza ndio ajadili

Asante mleta mada umetusaidia kujua wajinga waliomo humu jamii forums Kwa.kupitia tu hiyo picha ya gari uliyorusha
Kiwango cha hoja hujadiliwa kulingana na kiwango cha taarifa. Ukisema hili ni gari, watu watalijadili hilo gari kulingana na kiwango cha taarifa zilizowekwa sio taarifa zisizokuwepo.

Watu hawaezi kuota kuwa hilo gari linapaa, lazima uwape hiyo taarifa.
 
Back
Top Bottom