Sio kufanya gari liende ndio mziki!!, gari linaweza kwenda tu kwani mtu anaweza kununua Engine, akatafuta Gear box na diff na akaviunganisha kwenye Work shop na kisha akatengeneza chassis na akanunua hubs, axles na vitu vingine na hatimaye akaunda body na gari ikawaka na kutembea, hiyo ni kazi rahisi sana kwa Mechanical/motor vehicle engineers, Jambo kubwa ambalo linahitaji sifa kwa Enginers wetu ni kujiuliza; Je hiyo Engine ya hilo gari wameibuni na kuitengeneza wao from the scratch??, kubuni na kutengeneza Engine ndio jambo kubwa sana la kujivunia katika Mechanical/motor vehicle Enginering, hata kama sio kubuni (designing) basi hata kuiunda (manufacturing) engine ambayo ni designed na mainjinia wengine hiyo bado itakuwa ni credit kwa hao jamaa.
Kumbuka sio jambo la chance "Engineer" akaitwa hivyo ni kwasababu ya UMUHIMU wa kitu kinachoitwa "ENGINE", Engine==Engineer.