Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
Tunatia aibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni ubunifu au ni assemble??Samaleko!
Hii ni picha ya gari lililotegenezwa na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha UDSM. Vipi maoni yako kuhusu huu ubunifu tutawafikia Wachina, Wajapani na German huko mbeleni au tuendelee na huu ubunifu uliojaa utundu.
View attachment 2590712View attachment 2590729
Wamejitahidi Sana,tusiwakatishe tamaa.Samaleko!
Hii ni picha ya gari lililotegenezwa na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha UDSM. Vipi maoni yako kuhusu huu ubunifu tutawafikia Wachina, Wajapani na German huko mbeleni au tuendelee na huu ubunifu uliojaa utundu.
View attachment 2590712View attachment 2590729
SanaaaaTunatia aibu
Wamejitahidi Sana,tusiwakatishe tamaa.
Kikubwa wawekeze katika finishing. Wachina hapo ndipo walipofanikiwa kututeka. Bidhaa feki Ila zinavutia machoni.
Tatizo sio kuunda bodi la Gari.
Tatizo ni kulifanya Gari liende hapo ndio muziki munene
Engine hawajatengeneza wao kwani?Wajikite kutengeza engine yao.. mambo huwa mdogo mdogo.. sio kununua engine huko.. hizo hata vijana waliosoma darsa sifuri wanaweza kufanya tena zaidi ya hicho kidude
kutengeza engine, sio sawa na kutengeza kababuu mzee 😅😅😅Engine hawajatengeneza wao kwani?
Wakati ule kompyuta dazikuwepo, siku hizi wanadidaini kwa kutumia kompyuta.Ni mwanzo mzuri. Hata hao wengine walipoanza hazikuwa za kupendeza
ToyoTupeni engine model yake!
Thubutui!!! Viti tu venyewe inaonekana ni vya toyota, yaani hata fundi cherehani tu bado imeshindikana kundesign seats from scratch
Taa za parking na indicator kama ni za land rover, bado sana!!
Kama tunataka kuunda magari hatua ya kwanza ni kuifahamu teknolojia ya sasa ya uundaji magari na kuwekeza huko. Hii ya kuanzia mwanzo kama vile dunia ndo inagundua magari ni kupoteza muda.Ni mwanzo mzuri. Hata hao wengine walipoanza hazikuwa za kupendeza
Binafsi naona ni haba. Kama tunataka kuunda magari wapelekwe huko kwenye hivyo viwanda ambapo Toyota, Suzuki wanaunda magari yao na serikali ifanye huo uwekezaji hapa hata kama ni kwa kiwango kidogo.Walichofanya ni Cloning. hata hivyo sio haba, bado ni hatua moja kwenda mbele tuwatie moyo.
Nadhani serikali ilete tu wawekezaji hapa nchini ili vijana wajipatie ujuzi kwenye viwanda vyao.IT ina speed ya light. Bora hayo machuma chuma
Wameunganisha au modify tu vifaa vya mjapani wakaunda na body basi. Yale yale ya Nyumbu, Kapalata etc.Samaleko!
Hii ni picha ya gari lililotegenezwa na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha UDSM. Vipi maoni yako kuhusu huu ubunifu tutawafikia Wachina, Wajapani na German huko mbeleni au tuendelee na huu ubunifu uliojaa utundu.
Binafsi naona ni haba. Kama tunataka kuunda magari wapelekwe huko kwenye hivyo viwanda ambapo Toyota, Suzuki wanaunda magari yao na serikali ifanye huo uwekezaji hapa hata kama ni kwa kiwango kidogo.
Watu wamejifunza sana, hayo mambo nje na ndani. Kama nchi hatupo serious tuNadhani serikali ilete tu wawekezaji hapa nchini ili vijana wajipatie ujuzi kwenye viwanda vyao.