mlima wa mizeituni
JF-Expert Member
- Sep 7, 2019
- 1,387
- 2,444
Wahandisi walisahau kuweka wipers!! Pia seat belt hakuna..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halijatumia pesa nyingi, ni 1.2B pekeeKiukweli bado sana wala hakuna haja ya kujisifu, mbali na kuwa na muundo wa zama za WW1 gharama ya hlo gari ukitajiwa lazima ujifiche
KitamboIle ya masoud kipanya imeshaingizwa sokoni?
Samaleko!
Hii ni picha ya gari lililotegenezwa na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha UDSM. Vipi maoni yako kuhusu huu ubunifu tutawafikia Wachina, Wajapani na German huko mbeleni au tuendelee na huu ubunifu uliojaa utundu.
SABASABA lilienda?Kila kitu cha mjapan hapo, wameunga machuma
Engine kwanza, huo urembo mwingine baadaye. Ni wakati wa testingWahandisi walisahau kuweka wipers!! Pia seat belt hakuna..
Safi sana! Hongereni wasomi wetu!Samaleko!
Hii ni picha ya gari lililotegenezwa na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha UDSM. Vipi maoni yako kuhusu huu ubunifu tutawafikia Wachina, Wajapani na German huko mbeleni au tuendelee na huu ubunifu uliojaa utundu.
Linatumia umeme. Nami nilishaliona.Swali muhimu kabisa ni: je wameweza kuunda engine yake from the scratch ??
Nauliza swali hilo kwani gari hasa ni Engine, ukiweza kuunda Engine basi vyote vilivyobakia ni mtelemko tu, kuunda Engine ndio elimu ya ma-engineers.
KIwanda cha tyre kiko wapiSamaleko!
Hii ni picha ya gari lililotegenezwa na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha UDSM. Vipi maoni yako kuhusu huu ubunifu tutawafikia Wachina, Wajapani na German huko mbeleni au tuendelee na huu ubunifu uliojaa utundu.
Tukisema huyu ni mtoto wa Mamndenyi tunaangalia tangu mimba, huwezi kusema huyu ni mtoto wa FaizaFoxy wakati amemchukua mtoto wa Mamndenyi akamvisha vinepi na visweta vipya tu!Kama wametumia used engine huo sio ubunifu ni ujuzi tu umetumika kuunganisha vipuli kadhaa ambavyo vimetengenezwa na watu wengine
Kama wakisema wamebuni shape mpya ya bodi ya gari pia sawa.
Tunahitaji ubunifu mpya unaotatua matatizo Katika jamii
Toy au toyo.Samaleko!
Hii ni picha ya gari lililotegenezwa na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha UDSM. Vipi maoni yako kuhusu huu ubunifu tutawafikia Wachina, Wajapani na German huko mbeleni au tuendelee na huu ubunifu uliojaa utundu.
Hapa mbado sana mkuu. Bora tuendelee na ushabiki mandazi wa Yanga na Simba. Hiki ndicho kitu tunachokiweza kwa ufasaha.Samaleko!
Hii ni picha ya gari lililotegenezwa na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha UDSM. Vipi maoni yako kuhusu huu ubunifu tutawafikia Wachina, Wajapani na German huko mbeleni au tuendelee na huu ubunifu uliojaa utundu.
Kuna watu hawaelewi hili, wameangalia body wakakimbilia kuweka commentsSwali muhimu kabisa ni: je wameweza kuunda engine yake from the scratch ??