92 jerrie
JF-Expert Member
- Feb 28, 2022
- 7,273
- 16,705
Hizi watanzania kibao wanatengeneza Wapo mafundi Wa kuchomelea wanunda mpaka hiace za kuchonga magari kibao ya mkoa yanachongwa body hapa hapa bongo zinachomelewa ngoma inakaa road kusema kijana katengeneza gari naona ni ujinga fulani wakati huku mtaani watu wanachonga mabasi na yanapiga masafa dar arusha dar mwanza famasihala ww