Tazama picha ya gari lililotengenezwa na wanafunzi wa UDSM

Bongo tunajuaga kukosoa tu ila ajabu wakosoaji hawana walichowahi unda hata kwa kujaribu

Vyema tukawapa pongezi kwakuwa wamedanyakile ambacho wengine hatujaweza ubora ni ishu ya badaye muonekano ni swala la baadaye pia

Mwanzo mzuri vijana
 
Kwa tafsiri yako, hakuna kisicho gari

Gari ni chombo chochote cha usafirishaji kinachotumia injini, (self mobile). Hata Drone, Ndege, meli nk vyote hivyo kwa lugha nyepesi ni magari.
 
Ndio maana zikaitwa drone, ndege, meli na gari likaendelea kuitwa gari.

Kilichobadilika kwenye gari ni aina ya gari kulingana na kampuni lakini bado linaitwa gari fulani. Sasa hicho kidubwana kimefikia hadhi hiyo?

Watu wanatumia akili kubwa kutengeneza magari, we unakuja na kidude chako unakipa jina la gari unafikiri wao watajuskiaje?

Mnatukana fani za watu
 
Ref; Vehicle/Automobile in English.
 
ENGINE umetengeneza mwenyewe? au umeunganisha tu vitu vya watu! kama umetengene system ya engene na matairi, big up! ila kama umenyofoa kwingene, tafuta vitu vya kufanya
 
Back
Top Bottom