Tazama picha ya gari lililotengenezwa na wanafunzi wa UDSM

Tazama picha ya gari lililotengenezwa na wanafunzi wa UDSM

Wanakwama wapi kutengeneza gari ya namna hii
gart.jpg
 
UDSM kitengo cha kozi za degree za Engineering cha COET husajili wanafunzi wenye performance na akili nyingi mno kupata nafasi COET unatakiwa kufaulu hasa hasa hawaangalii tu pass ulipata form six form lazima waangalie pia wanataka mwenye akili consistent sio za hapa na pale na selection zao huonyesha O level ulipata nini na A level ulipata nini na ku rank
Sasa huyo kapost picha tu ya gari kapost kupima akili za watu humu.jamii forums kuwa zimo au hazimo kwa kupost picha tu for discussion

Kama lengo lao lilikuwa kujua wachangia mafa hiyo picha zimo au hazimo zimo au hazimo picha yao na response walizopata humu kwa hiyo picha watakuwa wameelewa tatizo la nchi hii watu IQ ndogo pia inachangia nchi kuwa maskini

Mtu aweza ona kivuko picha yake akasema kinunuliwe bila kupata specifications kikija kinakufa kabla kuanza safari


Comments nyingi humu zime ignore specification na wengine humu utakuta ndio watoa maamuzi kipi kinunuliwe au waelimishaji nk

Inaumiza.kujadili picha badala ya specification binafsi nimeumia

Mungu atusaidie watanzania
Specification hajaweka boss.
 
Swali muhimu kabisa ni: je wameweza kuunda engine yake from the scratch ??

Nauliza swali hilo kwani gari hasa ni Engine, ukiweza kuunda Engine basi vyote vilivyobakia ni mtelemko tu, kuunda Engine ndio elimu ya ma-engineers.
You can't say more than this. Thanks
 
Nimesoma comments humu asilimia kubwa nadhani akili hazimo

Mleta mada hajotoa sifa za hiyo gari ikoje

Watu tayari.wameanza kukosoa bila kuwa na specification za gari

Cha kwanza kwa mwenye akili alitakiwa aombe specification zake kwanza ndio ajadili

Asante mleta mada umetusaidia kujua wajinga waliomo humu jamii forums Kwa.kupitia tu hiyo picha ya gari uliyorusha
HUMU WADAU WAO NDIYO WANAJUA KILA KITU MKUU

OVA
 
Hata kama ni wanangu nitawaambia ukweli ili niwasaidie wafikiri kisasa na sio kizaman
Sawa, hata hao unaodhani ni "kichekesho" nina uhakika nao walipata ushauri mzuri tu au Ukweli kuhusu hali halisi kutoka kwa Wazazi wao(what makes you special ndugu?)
Suala nililokuomba ulitafakari, sio la kuwaambia ukweli au uongo na wala sio suala la kisasa au kizamani. Suala ni kuwa umedai ni kichekesho, kwa tafsiri nyingine, una maana ni wakuchekwa....Je wewe utafurahia watoto zako,

[ baada ya kuwapatia uhalisia wa- Ukweli dhidi ya
Uongo, Kisasa dhidi ya Kizamani] n.k

Je, Utafurahia wakichekwa?
Ni hilo tu.
 
tukisema ni upuuzi hakuna ubunifu wowote bbora wanaobuni majiko sanifu ya mishati mbada luliko hii kukopy idea na kufanya chini ya kiwango na ubunifu duni kabisa...research paper za wabongo ni za kuiga na kuedit edit ndio maana hatuoni utofauti wa mtu mwenye degree na asiyekuwa nayo katika kufanya mambo ya kawaida tu mitaani...hata mtayarisha habari mwenye degree na asiyekuwa nayo ipo sawa ni kucopy kutoka VOA na BBC auCNN na kuiweka google transilator na kuchapisha...kuna habari nyingi za kutosha vipindi sehemu nyingi sana tz lakini media haitulishi hivyo na kutuaminisha habari zinatoka hapo jiji la mzizima vivyo hivyo bunifu hizi zipo nyingi zenye tija na bunifu kweli kweli zisizopewa headline...
 
Kuna mambo tuachane nayo sanasana yanatufanya tuwe kichekesho.
Tujikite kwenye agricultural engineering tulete mageuzi kwenye kilimo ambacho mpaka leo tunapuyanga.
 
Back
Top Bottom