Haswa, angalau ni mwanzo mzuri.
Ukweli kuhusu mbwa, ni kuwa ni mnyama mwenye akili sana. Ni mwerevu pia. Ulimi kuwa nje ina maana ameridhika. Au ulikuwa unataka kutuaminisha nini mkuu?
Jipya ni.... Vijana wa leo wameonyesha nia nzuri. Wapongezwe na sio kubezwa! Hata wale unaofikiri kuwa ndio wagunduzi, nao pia waliboresha tu 'ugunduzi'
Kwanini tusijisifie, Mkuu unakitu unachojisifia kweli?
Kwanini iwe hivyo? Kwanini isiwe kwenye Engineering ya hivyo vitu badala ya kuwa Makarani, madereva, na walinzi wa wanyama?
Unafikiri kwa sababu gani Mamasamia2025?
Wape moyo!
Hapo Ujamaa umeingiaje? Duh
Taja hata gari moja lilokomaliwa enzi za mwalimu! Sidhani unalijua gari lelote lililotengenezwa enzi "io" na likakomaliwa! Unabisha?