Tazama picha ya gari lililotengenezwa na wanafunzi wa UDSM

Kiukweli bado sana wala hakuna haja ya kujisifu, mbali na kuwa na muundo wa zama za WW1 gharama ya hlo gari ukitajiwa lazima ujifiche
Halijatumia pesa nyingi, ni 1.2B pekee
 
Kama wametumia used engine huo sio ubunifu ni ujuzi tu umetumika kuunganisha vipuli kadhaa ambavyo vimetengenezwa na watu wengine

Kama wakisema wamebuni shape mpya ya bodi ya gari pia sawa.

Tunahitaji ubunifu mpya unaotatua matatizo Katika jamii
 
Swali muhimu kabisa ni: je wameweza kuunda engine yake from the scratch ??

Nauliza swali hilo kwani gari hasa ni Engine, ukiweza kuunda Engine basi vyote vilivyobakia ni mtelemko tu, kuunda Engine ndio elimu ya ma-engineers.
Linatumia umeme. Nami nilishaliona.
 
KIwanda cha tyre kiko wapi
Kiwanda cha taa kiko wapi
Kiwanda cha vioo kiko wapi
Kiwanda cha vilivyoko uvunguni kiko wapi
Vinginevyo watakuwa ni assemblers tu
 
Kama wametumia used engine huo sio ubunifu ni ujuzi tu umetumika kuunganisha vipuli kadhaa ambavyo vimetengenezwa na watu wengine

Kama wakisema wamebuni shape mpya ya bodi ya gari pia sawa.

Tunahitaji ubunifu mpya unaotatua matatizo Katika jamii
Tukisema huyu ni mtoto wa Mamndenyi tunaangalia tangu mimba, huwezi kusema huyu ni mtoto wa FaizaFoxy wakati amemchukua mtoto wa Mamndenyi akamvisha vinepi na visweta vipya tu!
 
😂😂😂😂😂wabongo kwa koment
 
Hapa mbado sana mkuu. Bora tuendelee na ushabiki mandazi wa Yanga na Simba. Hiki ndicho kitu tunachokiweza kwa ufasaha.
 
Swali muhimu kabisa ni: je wameweza kuunda engine yake from the scratch ??

Nauliza swali hilo kwani gari hasa ni Engine, ukiweza kuunda Engine basi vyote vilivyobakia ni mtelemko tu, kuunda Engine ndio elimu ya ma-engineers.
Kuna watu hawaelewi hili, wameangalia body wakakimbilia kuweka comments
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…