Pre GE2025 Tazama Video Watu wamiminika na kufurika kwa Rais Samia mpaka Aamua kujipiga picha kwa furaha

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Acha uongo wako hapa wewe. Najuwa mafuriko ya watu kwenye mikutano ya Mama yamewachanganyeni sana Ma CHADEMA
 
Luca mama na ccm hawawezi kukupa teuzi,hata wao wanaona kabisa kichwa chako kimebeba takataka na ndani ya ccm hawataki kuongeza tataka nyingine.
 
Luca mama na ccm hawawezi kukupa teuzi,hata wao wanaona kabisa kichwa chako kimebeba takataka na ndani ya ccm hawataki kuongeza tataka nyingine.
Acha kuweweseka ndugu yangu.ungetumia muda huu kuonana na daktari wa magonjwa ya moyo.maana naona presha yako ipo juu sana.
 
Najiuliza kama watanzania wa 2024 wapo na uzuzu hivi ... Je wa 1961 walikuwaje? tuna safari ndefu sana
Watanzania wanajitambua vyema sana na wanatambua ni nani aliye mtetezi wao na msaada wao.Watanzania wanafahamu ya kuwa ni Rais Samia na CCM ndiyo pekee watetezi na msaada katika maisha yao.ndio maana wanamuunga mkono kwa nguvu zote Rais Samia na CCM.
 
Machozi yatububujika!
 
Vua chupi apite na wewe chapu. Jinga wewe.mungu chukua hili lishetani haraka Sana lichome moto liteketee
 
Alianza kuweka namba ya simu, sasa hivi anaweka majina yake matatu yote, soon tutarajie namba yake ya NIDA ila jamaa wamemfungia vioo kama hawamuoni.

Wakiendelea kumpuuza atafungua ID mpya aje kuwatukana humu kama hajafungua bado.
Hahaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…