Hapo Ni wanafunzi na wamesombwa na maloliNajiuliza kama watanzania wa 2024 wapo na uzuzu hivi ... Je wa 1961 walikuwaje? tuna safari ndefu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo Ni wanafunzi na wamesombwa na maloliNajiuliza kama watanzania wa 2024 wapo na uzuzu hivi ... Je wa 1961 walikuwaje? tuna safari ndefu sana
Acha uongo wako hapa wewe. Najuwa mafuriko ya watu kwenye mikutano ya Mama yamewachanganyeni sana Ma CHADEMAkuna watu wamama wa sisiemu wameunda mavikundi ya chawa wanataka wam recruit na wife et jmos kuna safar ya dodoma usafari kwenda na kurud bure ili kumuhadaa bimkubwa kwamba ni kipenz cha watu kumbe watu wanapewa posho kwenda kumshangilia hatendewi haki kabisa amir jesh mkuu wetu
Acheni wivu ndugu zanguni. Usishindane na aliyepewa kibali na Mungu.Hapo Ni wanafunzi na wamesombwa na maloli
Sio wanafunzi tu kuna mama ntilie nawafahamu hawajapika leo wameenda kwa kusombwa na pesa juu.. NOMA!!!Hapo Ni wanafunzi na wamesombwa na maloli
Mafuriko ya watu kwa Mama yamewachanganyeni sana ,mpaka hamuelewi cha kufanya .mtakufa mwaka huuSio wanafunzi tu kuna mama ntilie nawafahamu hawajapika leo wameenda kwa kusombwa na pesa juu.. NOMA!!!
Mimi ni msema kweli na siyo chawa.wewe si umeona video namna wetu walivyo furika na kumiminikaUchawa first class
Acha kuweweseka ndugu yangu.ungetumia muda huu kuonana na daktari wa magonjwa ya moyo.maana naona presha yako ipo juu sana.Luca mama na ccm hawawezi kukupa teuzi,hata wao wanaona kabisa kichwa chako kimebeba takataka na ndani ya ccm hawataki kuongeza tataka nyingine.
Sijarogwa na wala huwezi ukamroga mtu ambaye amembeba Mungu ndani yake.Hivi ni nani aliye kuloga
Watanzania wanajitambua vyema sana na wanatambua ni nani aliye mtetezi wao na msaada wao.Watanzania wanafahamu ya kuwa ni Rais Samia na CCM ndiyo pekee watetezi na msaada katika maisha yao.ndio maana wanamuunga mkono kwa nguvu zote Rais Samia na CCM.Najiuliza kama watanzania wa 2024 wapo na uzuzu hivi ... Je wa 1961 walikuwaje? tuna safari ndefu sana
Mkuu acha tu, anajitahidi kweli kweli kugusa kila sekta hasa hizi za ngazi za msingi na muhimu kwa Watanznaia, hazina fedha hazitulii kabisa mkuu!kwa maendeleo anayoleta huyu mama ni kama mujiza wallah
Rais Samia ipo Siku watanzania watapiga magoti kumshukuruMkuu acha tu, anajitahidi kweli kweli kugusa kila sekta hasa hizi za ngazi za msingi na muhimu kwa Watanznaia, hazina fedha hazitulii kabisa mkuu!
Machozi yatububujika!Ndugu zangu Watanzania,
Haya ni mahaba kwa Rais Samia ambayo watanzania wanampatia Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Hii haijawahi kutokea popote pale Barani Afrika kwa Kiongozi kupendwa kiasi hiki mpaka watu wanaishiwa nguvu za kusimama kutokana na kuzidiwa na furaha na upendo kwa Rais Samia. Kwa hakika Rais Samia ni chaguo la Mungu Mwenyewe.huyu siyo mtu wa kawaida.katika jicho la kiroho inaonyesha namna Mungu alivyo pamoja na Rais Samia.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Vua chupi apite na wewe chapu. Jinga wewe.mungu chukua hili lishetani haraka Sana lichome moto liteketeeNdugu zangu Watanzania,
Haya ni mahaba kwa Rais Samia ambayo watanzania wanampatia Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Hii haijawahi kutokea popote pale Barani Afrika kwa Kiongozi kupendwa kiasi hiki mpaka watu wanaishiwa nguvu za kusimama kutokana na kuzidiwa na furaha na upendo kwa Rais Samia. Kwa hakika Rais Samia ni chaguo la Mungu Mwenyewe.huyu siyo mtu wa kawaida.katika jicho la kiroho inaonyesha namna Mungu alivyo pamoja na Rais Samia.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Taifa lina furaha na kutabasamu muda wote utafikiri maua yaliyo kando kando ya chemchemi ya majiKwa kweli Daktari Samia anatutoa machozi ya furaha watanzania.
HahaaaaaAlianza kuweka namba ya simu, sasa hivi anaweka majina yake matatu yote, soon tutarajie namba yake ya NIDA ila jamaa wamemfungia vioo kama hawamuoni.
Wakiendelea kumpuuza atafungua ID mpya aje kuwatukana humu kama hajafungua bado.
Endelea kuweweseka tu.Mtakufa kwa presha.Tamasha hilo limenogeshwa na Diamond!