Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni lazima tumpatie mitano tena kwa kishindoo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzimaMama Samia mi5 tenaaa
Mama Samia mi5 tenaaa
Uwe na adabu weweHii tumepigwa watanganyika kwa KIZIMKAZI aka CHURA.
KAZI ni kipimo cha UTU
Kaa kwa kutuliaDOKEZO - Ufisadi Nane Nane 2024 - Mamlaka husika zichunguze mchakato mzima
Wakuu, Nane-Nane ya Mwaka huu imegubwikwa na ufisadi wa hali ya juu hususani katikamaandalizi yake. Hii yangu inakuja kama muendelezo wa kile amba ho kiliwekwa wazi kwamba kuna vyoo viwili tu katika eneo lote kitu ambacho kimesababisha kero kubwa kwa washiriki. Ukienda mbele zaidi haya ndio...www.jamiiforums.com
Huyu vuvuzela alianza kumsifia Rango mwanzoni naona posho hakuongezewa akasusa.Alianza kuweka namba ya simu, sasa hivi anaweka majina yake matatu yote, soon tutarajie namba yake ya NIDA ila jamaa wamemfungia vioo kama hawamuoni.
Wakiendelea kumpuuza atafungua ID mpya aje kuwatukana humu kama hajafungua bado.
Huyu vuvuzela alianza kumsifia Rango mwanzoni naona posho hakuongezewa akasusa.Alianza kuweka namba ya simu, sasa hivi anaweka majina yake matatu yote, soon tutarajie namba yake ya NIDA ila jamaa wamemfungia vioo kama hawamuoni.
Wakiendelea kumpuuza atafungua ID mpya aje kuwatukana humu kama hajafungua bado.
Ufisadi CCM ni supu na mfupaKaa kwa kutulia
Kuunga mkono kwa lipi? Kwenda kukopa na kujenga madarasa,zahanati na vyoo?Tuendelee kumuunga mkono Mheshimiwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan
Elimu ,elimu elimu.Hivi wewe lucas unajisikiaje/unajionaje watu wooote wanapokuwa kinyume na wewe! Yani hakuna anaekusapoti!!
Na hubadiriki!
Una roho ngumu wewee!
Unapambana wewee! Una balaa wewe!
Mimi siyo chawa.Huyu vuvuzela alianza kumsifia Rango mwanzoni naona posho hakuongezewa akasusa.
Akaanza kumsifia Makonda alivyopigwa chini kwenye uenezi naona posho zikakatwa.
Akahamia kwa Kafulila napo akawa kwenye list ya machawa aliomwaga Kafulila kumsifia naona huku ndio anajipatia mkate wake wa kila siku.
Wazazi msomeshe watoto wenu wasije kuwatia aibu kama hivi mtu anaandika gazeti refu kumbe ndani kumejaa upumbavu mtupu.
Basi wewe ni kunguni.Mimi siyo chawa.
Mzalendo na unafiki wapi na wapi? Fanya hivi drop namba tukuwekee chochote kitu maana unapambana sana licha ya raia kukufungia vioo.Mimi Sitafuti uteuzi ndugu yangu.mimi ni Mzalendo naye fanya kazi kwa kujitolea na kwa hiyari kabisa
Shida ni pale yanaongelewa ya uongo na Mtu akaamini ni ukweli.Ndugu zangu Watanzania,
Haya ni mahaba kwa Rais Samia ambayo watanzania wanampatia Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Hii haijawahi kutokea popote pale Barani Afrika kwa Kiongozi kupendwa kiasi hiki mpaka watu wanaishiwa nguvu za kusimama kutokana na kuzidiwa na furaha na upendo kwa Rais Samia. Kwa hakika Rais Samia ni chaguo la Mungu Mwenyewe.huyu siyo mtu wa kawaida.katika jicho la kiroho inaonyesha namna Mungu alivyo pamoja na Rais Samia.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mcheza kwao hutunzwa.Alianza kuweka namba ya simu, sasa hivi anaweka majina yake matatu yote, soon tutarajie namba yake ya NIDA ila jamaa wamemfungia vioo kama hawamuoni.
Wakiendelea kumpuuza atafungua ID mpya aje kuwatukana humu kama hajafungua bado.
Yapi ya uongoShida ni pale yanaongelewa ya uongo na Mtu akaamini ni ukweli.