Uchaguzi 2020 TBC kurusha live uzinduzi kampeni za CHADEMA leo Zakhiem

Uchaguzi 2020 TBC kurusha live uzinduzi kampeni za CHADEMA leo Zakhiem

Status
Not open for further replies.

Azim Sokoine

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2014
Posts
1,443
Reaction score
2,643
Wakuu nawasalimu wote,
Nimeona kwenye page ya tbc wakitoa taarifa kuwa watarusha mkutano mkubwa wa kihistoria uzinduzi wa kampeni jijini DSM

===

TBC1 leo tutakuwa mbashara katika uzinduzi wa kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kutoka viwanja vya Mbagala Zakhiem jijini Dar es Salaam.

Matangazo hayo yatakuwa mbashara pia kupitia tovuti (tbc.go.tz), App (TBC Live) na YouTube (TBCOnline).


1598598045845.png
 
Usizubaishwe na haya!!! Wanaowaita mabeberu wanafuatilia kwa makini sana huu uchaguzi!!! Hii ni move ya kujikosha ila uzuri ni kuwa hao mabeberu wana taarifa nyingi sana za udhalimu unaofanywa kwenye uchaguzi huu!!! Lazima kitaeleweka tu mwaka huu!!
 
Wakithubutu yale yalofanywa na bashite klauz TV kuivamia akiwa na A.K 47 kipindi hiki atakuja nyangogo akiwa na rocket ranger tena yeye mwenyewe huku akimwaga ung'eng'e wa gambosi " Bhebhesi nang'ho nawawilaga ndoho kutangaja i kampeni ya wangi than that of unene ntale mbumbazu
 
TBC1 wako na weledi vichwani hawawezi kurusha kauli za kichochezi za tundu live


UKWELI SIKU ZOTE NI MCHUNGU NA UNAWATESA SANA.

Tundu lisu anaamsha mengi na kuyatoa madudu mengi jikoni . Lazima mtamchukia
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom