Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuhusu hao wastaafu w afrika magharibi au kuhusu TBC kusema Nyerere wa kwanza kustaafu afrika nzima?Chanzo chako cha habari ni kipi?
Tafuta wewe uje kupinga.Chanzo chako cha habari ni kipi?
Ahmadou ahidjo nafikiri ugonjwa ulimfanya astaafu mapemaView attachment 3126077
MHESHIMIWA Léopold Sédar Senghor
Rais kwa kwanza wa Senegal
Alistaafu kwa hiari December 1980
#############
View attachment 3126076
MHESHIMIWA Ahmadou Babatoura Ahidjo
Rais wa kwanza wa Cameroon
Alistaafu kwa hiari November 1982
Na tunaendelea kudanganywa kila uchaoNchi hii mambo mengi tumedanganywa sana, ila uzuri wa uongo hujitenga na ukweli daima.
Siyo sababu. Angelisisha mwanaeAhmadou ahidjo nafikiri ugonjwa ulimfanya astaafu mapema
Kwahiyo Kila kitu Hadi utafuniwe? Cha msingi wee Pinga kuwa hao Marais tajwa hapo juu hawakusitaafu Kwa haiari na utuambie mwaka walio achia madarakaChanzo chako cha habari ni kipi?
Nenda kasome vizuri aisee,si ndiyo maana amkamwachia Paul biya ambaye alikuwa waziri mkuu?Siyo sababu. Angelisisha mwanae
Wewe fikiri chochote, ukweli unabaki mmoja tu.Ahmadou ahidjo nafikiri ugonjwa ulimfanya astaafu mapema
Huna chanzo cha habari hii??Kuhusu hao wastaafu w afrika magharibi au kuhusu TBC kusema Nyerere wa kwanza kustaafu afrika nzima?
Dunia ya leo ni kuuliza chanzo?Huna chanzo cha habari hii??
Dunia ya leo chanzo cha habari kinaweza kuwa ni Faiza FoxyDunia ya leo ni kuuliza chanzo?
Si ingia duniani upinge, au huelewi maana ya dunia kiganjani?