Chanzo changu cha habari hii ya uongo ni TBC wenyewe.
Kwenye vipindi vyao vya kumbukizi ya kifo cha Nyerere. Wanampa sifa za uongo.
Wakampa na sifa za kututafutia warithi wake. Wakamhoji Jakaya Kikwete.
Kikwete akasema, wakati anatajwa tajwa kuwa mgombea, 1995, Julius Nyerere akamwita privately. Akamwambia NENDA KAMTAFUTE MKAPA, NIMETUMA UJUMBE HAJIBU, SIMPATI, MWAMBIE NAMTAKA YEYE AWE NEXT PRESIDENT!
Kikwete akakoma kuringa. Akaenda kumpa ujumbe Mkapa.
Sasa, we ushatoka madarakani. Umetawala miaka 24 plus 5 ya Mwinyi administration, maana wewe ni CCM Chairman na chama kimeshika hatamu, one party authoritarian state.
Unaondoka unataka bado utuchagulie favorite wako wewe, atakaeendeleza mambo yako wewe, wakati sisi tunabadili Rais kwa saab tunataka mabadiko, na sisi ni demokrasia ya kujichagulia wenyewe. Hiyo inakuwaje ni sifa nzuri ya kiongozi mstaafu ????????